Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani Samia ana uthubutu amesema tumpe muda!Pamoja na kutokutupatia baadhi ya haki zetu kama wafanyakazi, lakini nakiri kuwa nime mmiss JPM. Nawaza tu hivi kweli CCM itakuja tupatia kiongozi mwenye maono na uthubutu kama chuma aka Jiwe ? R.I.P mwamba...
Uthubutu gani?Pamoja na kutokutupatia baadhi ya haki zetu kama wafanyakazi, lakini nakiri kuwa nime mmiss JPM. Nawaza tu hivi kweli CCM itakuja tupatia kiongozi mwenye maono na uthubutu kama chuma aka Jiwe ? R.I.P mwamba...
Kalale nae chato usitipigie kelele hapa na huyo tapeli wenu wa manenoProbably yes! lakini sio kwa level ya Magufuli, he still remains unexceptional especially kwenye issue ya DIRA, will have to wait and see! RIP JEMBE MAGUFULI
Enzi za magu ulikuwa ukipanda mahindi unavuna mchele. Sasa kama dunia inajua Sadam ni wa Iraq ila jiwe anakuambia ni wa quwait na unatoka hapo unashangilia kama zuzu huoni ni kupanda mahindi na kuvuna mchele?Serikali haijawahi kugaragazwa enzi za Magu wewe kuwa makini!
Wapo wengi tuu, sema kupenya ndo mziki!Pamoja na kutokutupatia baadhi ya haki zetu kama wafanyakazi, lakini nakiri kuwa nime mmiss JPM. Nawaza tu hivi kweli CCM itakuja tupatia kiongozi mwenye maono na uthubutu kama chuma aka Jiwe ? R.I.P mwamba...
CCM ina hazina ya viongozi wa aina na kaliba zote
Sabaya alimkimbiza Lema Arusha.Ni kweli, Sabaya mmojawapo
Wapo wengi tu ccm,watu kama mkuu wa mkoa wa Dodoma,Antony Mataka.Pamoja na kutokutupatia baadhi ya haki zetu kama wafanyakazi, lakini nakiri kuwa nime mmiss JPM. Nawaza tu hivi kweli CCM itakuja tupatia kiongozi mwenye maono na uthubutu kama chuma aka Jiwe ? R.I.P mwamba...
umemis kuisikia mait zimeokotwa auPamoja na kutokutupatia baadhi ya haki zetu kama wafanyakazi, lakini nakiri kuwa nime mmiss JPM. Nawaza tu hivi kweli CCM itakuja tupatia kiongozi mwenye maono na uthubutu kama chuma aka Jiwe ? R.I.P mwamba...
Magufuli hakuwa na uthubutu bali ujinga na ugonjwa wa akili. Mtu akikanyaga moto watu watamuona ni shujaa mwenye uthubutu,lakini watu wakigundua kuwa mkanyaga moto alikuwa ni kichaa wanaona ni kawaida maana ni kichaaPamoja na kutokutupatia baadhi ya haki zetu kama wafanyakazi, lakini nakiri kuwa nime mmiss JPM. Nawaza tu hivi kweli CCM itakuja tupatia kiongozi mwenye maono na uthubutu kama chuma aka Jiwe ? R.I.P mwamba...
Lema yuko zake mambele anakula maisha Sabaya yuko zake nyuma ya nondo anakula ugali maharageSabaya alimkimbiza Lema Arusha.
Inaweza mkuu, lakini sio kujenga mfumo imara.Pamoja na kutokutupatia baadhi ya haki zetu kama wafanyakazi, lakini nakiri kuwa nime mmiss JPM. Nawaza tu hivi kweli CCM itakuja tupatia kiongozi mwenye maono na uthubutu kama chuma aka Jiwe ? R.I.P mwamba...
Mfuate, mwenzako Mfugale tayari yupo nae huko.Pamoja na kutokutupatia baadhi ya haki zetu kama wafanyakazi, lakini nakiri kuwa nime mmiss JPM. Nawaza tu hivi kweli CCM itakuja tupatia kiongozi mwenye maono na uthubutu kama chuma aka Jiwe ? R.I.P mwamba...
Inaweza kutupatia MUUAJI mkubwa kuwahi kutokeaPamoja na kutokutupatia baadhi ya haki zetu kama wafanyakazi, lakini nakiri kuwa nime mmiss JPM. Nawaza tu hivi kweli CCM itakuja tupatia kiongozi mwenye maono na uthubutu kama chuma aka Jiwe ? R.I.P mwamba...
JITU KATILI, JITU LIUAJI, NUNDA MLA WATU.Probably yes! lakini sio kwa level ya Magufuli, he still remains unexceptional especially kwenye issue ya DIRA, will have to wait and see! RIP JEMBE MAGUFULI
Wajinga wengi watachukua muda kuelewa kwamba Magu alikuwa Jembe....Probably yes! lakini sio kwa level ya Magufuli, he still remains unexceptional especially kwenye issue ya DIRA, will have to wait and see! RIP JEMBE MAGUFULI
Majaliwa ndiyo walewaale hakuna Jipya hapo!!Majaliwa Kassim ni mtu mbad sema watu awajamsoma tu alafu kitaa watu wanamuelewa sana.
Shida kweli kweliWale mapapaa wa kuchop money naona wameanza tena, nimeoneshwa clip ya mdada mbongo movie, sijui ni Uwoya, akimwaga money...kuna hotel nasikia imefunguliwa Tbt, ilishindikana kwa miaka 5 iliyopita.
Mungi akitujaliwa, mwakani tutafuturishana sana, ma-birthday location yakufa mtu, tutaanza kuimba majina ya wale wale tena, sijui Mwamvita, mara Riz1, mara n.k
Dizaini hiyo na chawa wao ndo wenye access na mitandao kuliko ndugu zangu kule Nanjilinji ambao ndio wanapanga foleni kupiga kura, wanapanga foleni kusubiri panadol, wanapanga foleni kuandikisha mtoto shule, wanapanga foleni kuchota maji kisimani, wanapanga foleni kupata pembejeo, walioundiwa TASAF na bado wanapewa walio masaki, pesa za visima vyao zinaishia kwa wanaotaka mzunguko wa pesa mtaani n.k
CAG alisema kati ya 27bn zilizokusanya na jiji, 3bn pekee ndo zimeenda/kuhesabiwa benki, zaidi na POS machine 80s zilizotumika kukusanya pesa hizo eti zimepotea, leo nimesikia tena kuwa POS za makusanyo za jiji lenu la Dar, zaidi ya 500 eti zimepotea, hawasemi zimepotea na pesa kiasi gani...hawa ndo wanataka mzunguko wa pesa mtaani.
Ni heri kusiwe na mzunguko wa pesa mtaani ila heshima ya shule za serikali ikarudi, kwamba ukisoma binafsi unaonekana kilaza, hizi ndo shule ndugu zangu wengi, 80% wanazimudu, pesa isiwepo mtaani ila nipate huduma bora hospitali, sio ubinafsi wa kuwa chawa kuishi kama Bashite kwa gharama za maisha ya walio wengi masikini.
Nani wakuchukua hatua? Mama anaupiga mwingi, KAZI IENDELEE