Fasta fasta
JF-Expert Member
- Feb 15, 2011
- 1,125
- 725
Bashite anaitamani hiyo nafasi. Naona siku hizi kakaa kimya. Hivi yuko wapi jamani? Media zimemkimbia au yy kakimbia media? CCM kwa mbwembwe!!!!Pamoja na kutokutupatia baadhi ya haki zetu kama wafanyakazi, lakini nakiri kuwa nime mmiss JPM. Nawaza tu hivi kweli CCM itakuja tupatia kiongozi mwenye maono na uthubutu kama chuma aka Jiwe ? R.I.P mwamba...