CCM inaweza kutupatia kiongozi mwingine mwenye uthubutu kama Hayati Magufuli?

CCM inaweza kutupatia kiongozi mwingine mwenye uthubutu kama Hayati Magufuli?

Pamoja na kutokutupatia baadhi ya haki zetu kama wafanyakazi, lakini nakiri kuwa nime mmiss JPM. Nawaza tu hivi kweli CCM itakuja tupatia kiongozi mwenye maono na uthubutu kama chuma aka Jiwe ? R.I.P mwamba...

Ameshusha uchumi halafu unasema ana uthubutu? Hizi sifa za kijinga huwa wanapewa viongozi wa nchi zenye ulemavu wa ujamaa.
 
kila mtu anajua katiba mpya ina umuhimu, sasa katiba sio kwa ajili ya nyie kuingia madarakani ila ya WANANCHI , sio kwa maneno yenu!
So CCM mnaipenda katiba iliyopo sababu inawaweka madarakani?

Hivi unawezaje kuitisha mechi ukasema ni ya ushindani huku upande mmoja ndio unamlipa refa??
 
Magufuli alikuwa na IQ kubwa sana... sharp in decision making ... humdanganyi kirahisi
The guys analytical capacity was exceptional! Mzee alikuwa mwamba na akifuatilia jambo analidig from the core. He always has the first hand information about the situation kabla hajasikiliza porojo za wahusika. Straight away anatoa maelekezo wala hana haja ya kupoteza muda!
 
Sadam alikuwa Raisi wa Kuwaiti
1625159613069.png
 
Ameshusha uchumi halafu unasema ana uthubutu? Hizi sifa za kijinga huwa wanapewa viongozi wa nchi zenye ulemavu wa ujamaa.
Wacha sahizi wapewe uhuru wa kuropoka na kuandika upuuzi juu ya serikali huku serikalini watu wakijipigia mipunga na kupotezea miradi ya maendeleo 😂😂😂 watakuja kuelewa somo vizuri nk swala la muda tu!
 
Back
Top Bottom