Tetesi: CCM kaeni Chonjo, mwanaume anakuja. Msikimbie chama chetu!

Mwee mweeeee mwee, usiniambie Bashite anachukua rungu chamani Soon!!!!!!!!!
 
naunga mkono hoja
Baada ya Magufuli, 2025 ... atatufaa sana, kwasababu ana ...

P
 
Bora amtoe atuachie jiji letu amuweke hukohuko chamani, infact kazi ya siasa ndio inamfaa zaidi
Kule atamualisha nani bila nguvu ya dola?
Utakuwa ndiyo mwisho wake. Kwenye chama sio mabavu ni ushawishi.
Harafu kitakuwa chama cha Wasukuma kama ilivyo CDM ya Wachaga?
 
Kumbe hata mtu akiwa anaota akaandika tunachangia kama vile kweli. Hizi habari muwe mnasubiri siku yake 1 april.
 
Kife kabisa... Nani aanshida na ninyi..!!??
 
Nani kwa hiyo bashite aongoze ccm bila vyeti?

Swissme
Kama wanachama wenyewe ni type ya kina msukuma na kibajaji wa kuamrishwa kushoto geuka mbele tembea anabonyeza Play wanaimba anabonyeza Stop wananyamaza kwanini ashindwe kuwaongoza.
 
Akizungumza na wanahabari, Katibu mkuu wa CCM Bashite Daud amesema...
😀😀😀😀
 
Kumbe hata mtu akiwa anaota akaandika tunachangia kama vile kweli. Hizi habari muwe mnasubiri siku yake 1 april.
Semà anaota tu! Kama utakuwa makini siredi nyingi zinazoanzishwa humu kwa kichwa cha habari kinachoanza na tetesi,asilimia 70 huwa zinakuja kuwa kweli baada ya kipindi Fulani.na chache huwa hazitimii kwa tetesi kutokutumia.
 
Nani kwa hiyo bashite aongoze ccm bila vyeti?

Swissme
Mkuu,mbona anaongoza Jiji kubwa la DSM bila hivyo vyeti halali? Nafikiri kuongoza CCM ni rahisi zaidi kwa sababu ya ujuha,ukilaza na unafiki wa kiwango cha juu cha wanachama,as long as dereva mkuu ameamua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😀 Ganda La Muwa La Jana Chungu Kaona Kivuno
 
Mkuu,mbona anaongoza Jiji kubwa la DSM bila hivyo vyeti halali? Nafikiri kuongoza CCM ni rahisi zaidi kwa sababu ya ujuha,ukilaza na unafiki wa kiwango cha juu cha wanachama,as long as dereva mkuu ameamua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anaongoza jiji kubwa wewe uwezi kuona watu wa dar wakilivyo wengi wao Elimu Duni.

Swissme
 
Hivi bashite alishakata mkono wa sweta mbona hizi akili na maamuzi yake ni kama vile hajawahi pata maumivu ya kupunguzwa sehem ya mwili wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…