Tetesi: CCM kaeni Chonjo, mwanaume anakuja. Msikimbie chama chetu!


Huyo mwanaume amepiga mimba ngapi mpaka wengine wamwogope!?
 
Hivi nani kakuambia Magufuli atafikisha 2025? Paskali, huyo muzee hakatizi 2020 na ataingia kwenye historia ya viongozi walio ongoza kipindi kimoja na kushindwa uchaguzi. Vilio (vya moyoni) vimekuwa vingi sana na havitamuacha salama.
Mkuu Chakaza, unadhani 2020 kutakuwa na uchaguzi wa rais?. Kwa taarifa yako, 2020 hakuna uchaguzi wa rais, ni Magufuli tuu, ila kwa vile uchaguzi ni takwa la kikatiba, then tutafanya igizo tuu la uchaguzi, rais 2015-2025 ni JPM, unless otherwise " ndoto ya Lema!".

P.
 
Bashite kwa kashata yake nyuma alitakiwa awe Malaika Music band,sio uongozini
 
mimi nilidhani yale Madume ya Makinikia ynarudi kutusubu kumbe ni Bshite, ahaaa bwana mbona tunaharibiana siku
 
hahaha kwa hiyo wanataka kumfyeka 'mzee kijana' slowslow.
 
Mkuu Paskal huwa naheshimu sana michango yako hapa JF na nje ya JF, lakini kwa hili unalosema kwa uhakika namna hii sina budi kukupinga. Mambo sio rahisi kiasi hicho. Utakuwa uchaguzi mgumu sana kwa mara ya kwanza kwa kiongozi aliyeko madarakani.
Sababu kuu ni kama mbili tatu hivi. Kwanza upinzani mkubwa wa chini kwa chini ulioko ndani ya chama chake. Kwa mara ya kwanza tunaona mwenyekiti wa chama anayepingwa na vigogo wa ndani ya chama kwa uwazi na kwa siri pia.
Sababu nyingine ni hali ya maisha na mateso wapatayo wananchi, na kama hali hii itaendelea hivi hakika labda atumie jeshi kujibakisha madarakani. Lakini lakujiuliza ni jee ushawishi huo ndani ya vyombo hivyo anao?
Tuachie hapo tusije pimwa mkojo bure, tukakutwa na UTI
 
Uhaini huu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…