Tetesi: CCM kaeni Chonjo, mwanaume anakuja. Msikimbie chama chetu!

Tetesi: CCM kaeni Chonjo, mwanaume anakuja. Msikimbie chama chetu!

Hivi bashite alishakata mkono wa sweta mbona hizi akili na maamuzi yake ni kama vile hajawahi pata maumivu ya kupunguzwa sehem ya mwili wake?
Yaani JF hata kama ulikuw na msongo wa mawazo utacheka tu dah jamani watu munajuwa kuibuwa mambo
 
Kwani chamani anatakiwa mtu mwenye qualifications gani za kielimu?

Kwenye siasa mtu yeyote asie na aibu anaweza fit.

Mtu yeyote ambae leo anasema hivi na kesho bila aibu anasema kinyume na anahitaji kuaminiwa na kupigiwa makofi.
 
Ninachosema ndicho nimaanishacho. kwakua nimeifanya kua ni tetesi, let's wait time talks itself.

Kuna kila dalili ndugu yetu aliyepewa Ban na media zote hapo juzi kati hivi, sasa hivi wenye chama wanafikiria kumpa kazi ya kukisimamia chama. Msimamizi mkuu wa chama letu amepoteza imani kabisa na uongozi wa chama uliopo, kwahiyo by any time mkisikia mabadiliko makubwa mtarudi humu kushangaa nilichokua nikikisema. Mwanaume is coming soon!

Kwa sasa tumalizieni uchaguzi wa chama ngazi ya chini kwanza, lakini ukweli ndio huu. Msimami mkuu wa chama letu anaona kuna uwezekano mkubwa kabisa hizi chaguzi za chini zaweza kukipasua chama tena kwa namna yeyote ile kutokana na baadhi ya viongizi wetu ndani ya chama kuonekana kutaka kupanga safu zetu za viongizi wawatakao kitu ambacho kwa sasa hakina nafasi hiyo.Wa nataka kutupangia safari yetu ya 2020 weeeh!!

Msisimamizi mkuu wa chama letu kwa sasa anaona kua mwenye maamuzi pekee ndani ya Chama ni yule kijana aliyepata kuchukiwa kabisa na wengi pamoja na media nyingi kumpa kisogo. Huyu kwa sasa anaonekana nafasi aliyonayo hivi sasa ni ndogo kwa ujasiri wake, hivyo ni bora kumkomaza na kumpaisha zaidi kimaamuzi kwa nafasi ya juu kabisa ndani ya chama letu ili hata ikifikia 2020 isiwe kazi kucheza karata za mjengoni. Ndio hivyo, na ndivyo itakavyokuwa.

Kwa nafasi yake ya sasa anaangaliwa kijana mwingine mwenye ujasiri na maamuzi yanayoshabihiana na yake either ndani ya chama letu au kwenye system.


Ni mimi Prof MAHANJU, ni mwanaccm mfu, bado sijabanduka ndani ya chama letu lakini nacheza pande zote huku na kule.


Weekend njema!


Hahahahaa.! Nimeipenda hii, eti "mwanaccm mfu"
 
Akiletwa kwenye Chama hatoweza kufanya Vizuri kwa sababu kule sio sehemu ya lelemama na kutafuta kiki! Chama kinahitaji watu makini sio wenye akili za Makinikia!

Chaman panamfaa sana akibomoe kibaki vipande vipande
 
Ni mimi Prof MAHANJU, ni mwanaccm mfu, bado sijabanduka ndani ya chama letu lakini nacheza pande zote huku na kule.
Professor hapa ndo umenivunja mbavu,, eti unacheza "pande zote huku na kule". Unamaanisha Shite anataka kupewa Katibu Mkuu wa chama lenu? Mtanyooka!!
 
Back
Top Bottom