GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
1. Kwani TANU ilikuwa tayari kukabidhiwa nchi na Wazungu hasa ikizingatiwa kuwa ilikuwa ikiongozwa na "kijana" wa miaka thelathini na nane tu? Mbona aliweza kuiongoza kwa "mafanikio" makubwa?
2. Kwa kusema vyama vingine havijawa tayari, kunamaanisha nchi haina mifumo imara ya kiuongozi hadi itegemee ukomavu wa Chama cha Siasa?
3. Madai hayo ni ishara kuwa Tanzania haitakaa iruhusu mgombea binafsi? Kumbuka mgombea binafsi hana Chama.
Hayo madai ni ya kizalendo au ubinafsi?