GE2025 CCM kufanya harambee ya Kitaifa Agosti 12,2025 kukusanya bilioni 100 za kampeni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tuko tayari kuchangia chama chetu
 
Uzuri CCM Ina wanachama na wapenzi matajiri Kila Kona hiyo ni pesa ndogo sana kwao.

My Take
Wale wa tonetone waliishia wapi? 😂😂😂😂😂
 
Kwa kawaida huyu huwa hasililizwi na viongozi wenzake.
Itakumbukwa aliwahi kuagiza wagombea kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa waliokatwa kwa sababu ndogondogo warudishwe,lakini hawakurudishwa.
Pia aliwahi kulaani utekaji,lakini utekaji uliendelea.
We kibwengo unaota kt gn
 
Wangekamilisha na kufanikisha maisha ya Watanzania wala wasingehitaji kutafuta hizo Hongo ili hao watoaji waje kesho au keshokutwa kutegemea malipo ya Investments zao...

In Short tunazidi kwenda kwenye Oligarchy form of Government kwa jina la Demokrasia....
 
😂😂😂😂 Tone tone🙆🙆
Tlaatlaah ChoiceVariable Mayor Quimby
 
Hawana lolote, wanataka kupima upepokutest wanakubalika vipi
 
Wapo akina rostam Aziz, rugumi, abood, shabiby, superfeo, wote ...wafanyabiashara wanao mabegqni wachukue hela ili wakishinda wawape tenda za kufidia fedha zao...
 
Kampeni ya nini sasa katika mazingirq tuliyonayo kwenye siasa za nchi hii kwa sasa!!

Salum Mwalimu ni wa kufanyia kampeni kumshinda??😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…