GE2025 CCM kufanya Marekebisho ya Katiba kwa njia ya mtandao Julai 26, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeita mkutano Mkuu Maalumu kesho Jumamosi Julai 26, 2025.

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amewaambia waandishi wa habari kuwa lengo la mkutano huo ni kufanya marekebisho madogo ya Katiba ya chama hicho.

Mkutano huo utafanyika kwa njia ya mtandao na tayari Makalla amesema maandalizi yote yamekamilika.

"Nimepokea simu nyingi kutoka kwa watu na kwenye mitandao watu wameandika mambo mengi, nawathibitishia kuwa kesho tutakuwa na mkutano Mkuu Maalumu ambao utafanyika kwa njia ya mtandao," amesema Makalla.

Chanzo: Mwananchi
Kubadili awe mgombea wa maisha/bila kupigiwa kura/ na ushenzi wowote johnthebaptist
 
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeita mkutano Mkuu Maalumu kesho Jumamosi Julai 26, 2025.

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amewaambia waandishi wa habari kuwa lengo la mkutano huo ni kufanya marekebisho madogo ya Katiba ya chama hicho.

Mkutano huo utafanyika kwa njia ya mtandao na tayari Makalla amesema maandalizi yote yamekamilika.

"Nimepokea simu nyingi kutoka kwa watu na kwenye mitandao watu wameandika mambo mengi, nawathibitishia kuwa kesho tutakuwa na mkutano Mkuu Maalumu ambao utafanyika kwa njia ya mtandao," amesema Makalla.

Chanzo: Mwananchi
Screenshot_20250719-174622~2.png
 
Content creators wa mchongo wamekula za uso. Hii ni habari mbaya sana kwa wadandia hoja. Let's now focus on other issues!
 
Msajili wa vyama vya siasa bado ametumbua macho kama mjusi aliyebanwa na mlango! Huwezi kumsikia akisema jambo wala kukemea uvunjifu wa Katiba ya CCM!
Maana marekebisho hayo yanatokana na kikao gani cha Halmashauri kuu au Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu.

Maana hivyo vikao viliahirishwa mpaka tarehe 28/07/2025.
 
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeita mkutano Mkuu Maalumu kesho Jumamosi Julai 26, 2025.

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amewaambia waandishi wa habari kuwa lengo la mkutano huo ni kufanya marekebisho madogo ya Katiba ya chama hicho.

Mkutano huo utafanyika kwa njia ya mtandao na tayari Makalla amesema maandalizi yote yamekamilika.

"Nimepokea simu nyingi kutoka kwa watu na kwenye mitandao watu wameandika mambo mengi, nawathibitishia kuwa kesho tutakuwa na mkutano Mkuu Maalumu ambao utafanyika kwa njia ya mtandao," amesema Makalla.

Chanzo: Mwananchi
Katiba ya nchi hawataki kubadili

No reform No Election hata Bunge mnaweza kuitisha kwa mtamdao kufanya mabadiliko
 
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeita mkutano Mkuu Maalumu kesho Jumamosi Julai 26, 2025.

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amewaambia waandishi wa habari kuwa lengo la mkutano huo ni kufanya marekebisho madogo ya Katiba ya chama hicho.

Mkutano huo utafanyika kwa njia ya mtandao na tayari Makalla amesema maandalizi yote yamekamilika.

"Nimepokea simu nyingi kutoka kwa watu na kwenye mitandao watu wameandika mambo mengi, nawathibitishia kuwa kesho tutakuwa na mkutano Mkuu Maalumu ambao utafanyika kwa njia ya mtandao," amesema Makalla.

Chanzo: Mwananchi
ni ya ya makamu akishachukua kiti cha juu nini?
 
Msajili

Msajili kimya ccm aina baya ila ni chadema tu ndio mbaya ila kwakwelli 🥺
 
Kwa hiyo kitakachobadilishwa ni surprise ili wajumbe wasipate muda wa "tafakuri" wakizubaa waburuzwe!!
 
Back
Top Bottom