Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,946
- 4,592
Marekebisho ili kukidhi matakwa ya wachache sio
Katiba inasemaje namna ya kuitisha vikao vya chama.
Yule jamaa aliyeko kijiji cha Matitima na Liwale ambako hata mtandao haujafika , inakuwaje?
Katiba, Katiba, Katiba-tunakumbuka shuka kumesha pambazuka!
Baada ya kuvunja katiba ya nchi na ya chama chetu ccm .....bado mnaangaika kufuta futa vipengele ili ajihalalishe......kwa nini msinyooke na utaratibu. hii ni awamu ni awamu ya tano imeisha imeisha .wamemaliza 10 yrs. Wanatakiwa watu waombe upya fomu za uchaguzi ....uchawa wa kipumbavuu .....hadi kuuua kuteka kutishatisha.....kungia watu kusali kisha madarakaChama Cha Mapinduzi (CCM) kimeita mkutano Mkuu Maalumu kesho Jumamosi Julai 26, 2025.
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amewaambia waandishi wa habari kuwa lengo la mkutano huo ni kufanya marekebisho madogo ya Katiba ya chama hicho.
Mkutano huo utafanyika kwa njia ya mtandao na tayari Makalla amesema maandalizi yote yamekamilika.
"Nimepokea simu nyingi kutoka kwa watu na kwenye mitandao watu wameandika mambo mengi, nawathibitishia kuwa kesho tutakuwa na mkutano Mkuu Maalumu ambao utafanyika kwa njia ya mtandao," amesema Makalla.
Haya matapeli hayataki kurekebisha katiba ya nchi
CCM wako mbele ya muda kwa Karne kadhaa. Mkutano kwa mtandao kujumuisha wajumbe toka wilaya zote nchini?Katiba inasemaje namna ya kuitisha vikao vya chama.
Yule jamaa aliyeko kijiji cha Matitima na Liwale ambako hata mtandao haujafika , inakuwaje?
Katiba, Katiba, Katiba-tunakumbuka shuka kumesha pambazuka!
Maajabu kutanya madariko madogo ya katiba yao muda unatosha sana ila kuhusu katiba na kanuni za uchaguzi muda haupo kabisaaaaaaaaahhhhhhhPolepole kawakaba Hadi wanataka wabadili katiba ili kuhalalisha uharamu walioupitisha iliSamia kuwa
mgombea urais pasipo kushindanishwa
Mkuu uko sahihi, je kesho hawaendi kufanya haramu nyingine?? Kama Katiba yao hairuhusu mkutanao kufanyika kwa njia mtandao!kurekebisha katiba ni jambo kubwa linapaswa kufanyika kwa njia ya mkutano halisi( physical) siyo wa mtandao(virtue)
Inaelekea kuna kosa wanajua walifanya, sasa wanataka kutekebisha katiba ili kulihalalisha..!kurekebisha katiba ni jambo kubwa linapaswa kufanyika kwa njia ya mkutano halisi( physical) siyo wa mtandao(virtue)
🤣 🤣 🤣 🔊Bibi ana kimbia kuzomewa