TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,930
- 19,156
Backward thinkingkurekebisha katiba ni jambo kubwa linapaswa kufanyika kwa njia ya mkutano halisi( physical) siyo wa mtandao(virtue)

LOopholes lazima zizibweKwa hiyo kitakachobadilishwa ni surprise ili wajumbe wasipate muda wa "tafakuri" wakizubaa waburuzwe!!
ccm inaelekea kifoChama Cha Mapinduzi (CCM) kimeita mkutano Mkuu Maalumu kesho Jumamosi Julai 26, 2025.
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amewaambia waandishi wa habari kuwa lengo la mkutano huo ni kufanya marekebisho madogo ya Katiba ya chama hicho.
Mkutano huo utafanyika kwa njia ya mtandao na tayari Makalla amesema maandalizi yote yamekamilika.
"Nimepokea simu nyingi kutoka kwa watu na kwenye mitandao watu wameandika mambo mengi, nawathibitishia kuwa kesho tutakuwa na mkutano Mkuu Maalumu ambao utafanyika kwa njia ya mtandao," amesema Makalla.
Chanzo: Mwananchi
Msajili hapo kimyaa wala hakuna aliyepatikana kwa njia isiyohalali😹😹, amekuwa kama tv tu remote anayo mtu mwingine akitaka anaongeza mute akitaka anaongeza sauti , na akitaka anaizimaMsajili wa vyama vya siasa bado ametumbua macho kama mjusi aliyebanwa na mlango! Huwezi kumsikia akisema jambo wala kukemea uvunjifu wa Katiba ya CCM!
Hii dunia imekua ya kijinga sana. Sasa hayo marekebisho wanafanya kwa manufaa ya nani.Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeita mkutano Mkuu Maalumu kesho Jumamosi Julai 26, 2025.
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amewaambia waandishi wa habari kuwa lengo la mkutano huo ni kufanya marekebisho madogo ya Katiba ya chama hicho.
Mkutano huo utafanyika kwa njia ya mtandao na tayari Makalla amesema maandalizi yote yamekamilika.
"Nimepokea simu nyingi kutoka kwa watu na kwenye mitandao watu wameandika mambo mengi, nawathibitishia kuwa kesho tutakuwa na mkutano Mkuu Maalumu ambao utafanyika kwa njia ya mtandao," amesema Makalla.
kurekebisha katiba ni jambo kubwa linapaswa kufanyika kwa njia ya mkutano halisi( physical) siyo wa mtandao(virtue)
Umeona mbali, mkutano mkuu huu nao waweza kuwa batili. 😆😆Maana marekebisho hayo yanatokana na kikao gani cha Halmashauri kuu au Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu.
Maana hivyo vikao viliahirishwa mpaka tarehe 28/07/2025.
Genz wa kenya wakiamua huu mkutano unawrza usifanyike online.Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeita mkutano Mkuu Maalumu kesho Jumamosi Julai 26, 2025.
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amewaambia waandishi wa habari kuwa lengo la mkutano huo ni kufanya marekebisho madogo ya Katiba ya chama hicho.
Mkutano huo utafanyika kwa njia ya mtandao na tayari Makalla amesema maandalizi yote yamekamilika.
"Nimepokea simu nyingi kutoka kwa watu na kwenye mitandao watu wameandika mambo mengi, nawathibitishia kuwa kesho tutakuwa na mkutano Mkuu Maalumu ambao utafanyika kwa njia ya mtandao," amesema Makalla.
Ni kitu gani hicho Cha dharura wanachotaka kurekebisha. Yaani hayo marekebisho yasipofanyika kuna nini kitakwama?Muda hautoshi
Hayo marekebisho hayatafanya kazi kwa mchakato walioukosea labda kama ni projection ya uchaguzi ujao.Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeita mkutano Mkuu Maalumu kesho Jumamosi Julai 26, 2025.
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amewaambia waandishi wa habari kuwa lengo la mkutano huo ni kufanya marekebisho madogo ya Katiba ya chama hicho.
Mkutano huo utafanyika kwa njia ya mtandao na tayari Makalla amesema maandalizi yote yamekamilika.
"Nimepokea simu nyingi kutoka kwa watu na kwenye mitandao watu wameandika mambo mengi, nawathibitishia kuwa kesho tutakuwa na mkutano Mkuu Maalumu ambao utafanyika kwa njia ya mtandao," amesema Makalla.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeita mkutano Mkuu Maalumu kesho Jumamosi Julai 26, 2025.
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amewaambia waandishi wa habari kuwa lengo la mkutano huo ni kufanya marekebisho madogo ya Katiba ya chama hicho.
Mkutano huo utafanyika kwa njia ya mtandao na tayari Makalla amesema maandalizi yote yamekamilika.
"Nimepokea simu nyingi kutoka kwa watu na kwenye mitandao watu wameandika mambo mengi, nawathibitishia kuwa kesho tutakuwa na mkutano Mkuu Maalumu ambao utafanyika kwa njia ya mtandao," amesema Makalla.
kurekebisha katiba ni jambo kubwa linapaswa kufanyika kwa njia ya mkutano halisi( physical) siyo wa mtandao(virtue)
Maana marekebisho hayo yanatokana na kikao gani cha Halmashauri kuu au Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu.
Maana hivyo vikao viliahirishwa mpaka tarehe 28/07/2025.
Katiba inasemaje namna ya kuitisha vikao vya chama.kurekebisha katiba ni jambo kubwa linapaswa kufanyika kwa njia ya mkutano halisi( physical) siyo wa mtandao(virtue)