GE2025 CCM kufanya Marekebisho ya Katiba kwa njia ya mtandao Julai 26, 2025

GE2025 CCM kufanya Marekebisho ya Katiba kwa njia ya mtandao Julai 26, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
on saturday i got a little accident , lost my stuffs. so am kindly offline _20250725_092144_0000.png
 
Hawana pesa za kuitisha mkutano mkuu maana wafadhili hawawezi kutoa pesa hawana uhakika kama Mama atapitishwa kugombea tena.
 
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeita mkutano Mkuu Maalumu kesho Jumamosi Julai 26, 2025.

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amewaambia waandishi wa habari kuwa lengo la mkutano huo ni kufanya marekebisho madogo ya Katiba ya chama hicho.

Mkutano huo utafanyika kwa njia ya mtandao na tayari Makalla amesema maandalizi yote yamekamilika.

"Nimepokea simu nyingi kutoka kwa watu na kwenye mitandao watu wameandika mambo mengi, nawathibitishia kuwa kesho tutakuwa na mkutano Mkuu Maalumu ambao utafanyika kwa njia ya mtandao," amesema Makalla.


Hii kwa njia ya mtandao ni kichaka kipya wanachopenda kutumia mboga mboga.
 
"kama kamati kuu ikiona vinginevyo"

Kama ikiona Kwa jimbo la igalula mzalendo wa kweli hajatia Nia,na ikamuona anafaa kuwa Mbunge,kamati inaweza mpitisha yeye hasta kama hajatia Nia Wala kujaza fomu!

Kama ikiona vinginevyo!!

KAZI na utu tunasonga mbele,oktoba tuna tick!!
 
Back
Top Bottom