Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kubadili awe mgombea wa maisha/bila kupigiwa kura/ na ushenzi wowote johnthebaptistChama Cha Mapinduzi (CCM) kimeita mkutano Mkuu Maalumu kesho Jumamosi Julai 26, 2025.
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amewaambia waandishi wa habari kuwa lengo la mkutano huo ni kufanya marekebisho madogo ya Katiba ya chama hicho.
Mkutano huo utafanyika kwa njia ya mtandao na tayari Makalla amesema maandalizi yote yamekamilika.
"Nimepokea simu nyingi kutoka kwa watu na kwenye mitandao watu wameandika mambo mengi, nawathibitishia kuwa kesho tutakuwa na mkutano Mkuu Maalumu ambao utafanyika kwa njia ya mtandao," amesema Makalla.
Chanzo: Mwananchi
Msajili wa vyama vya siasa bado ametumbua macho kama mjusi aliyebanwa na mlango! Huwezi kumsikia akisema jambo wala kukemea uvunjifu wa Katiba ya CCM!Jee mchakato wa hayo mabadiliko ni halali? Hawa CCM si ndiyo huwa wanabeza mitandao ya kijamii?
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeita mkutano Mkuu Maalumu kesho Jumamosi Julai 26, 2025.
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amewaambia waandishi wa habari kuwa lengo la mkutano huo ni kufanya marekebisho madogo ya Katiba ya chama hicho.
Mkutano huo utafanyika kwa njia ya mtandao na tayari Makalla amesema maandalizi yote yamekamilika.
"Nimepokea simu nyingi kutoka kwa watu na kwenye mitandao watu wameandika mambo mengi, nawathibitishia kuwa kesho tutakuwa na mkutano Mkuu Maalumu ambao utafanyika kwa njia ya mtandao," amesema Makalla.
Chanzo: Mwananchi
Content creators wa mchongo wamekula za uso. Hii ni habari mbaya sana kwa wadandia hoja. Let's now focus on other issues!Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeita mkutano Mkuu Maalumu kesho Jumamosi Julai 26, 2025.
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amewaambia waandishi wa habari kuwa lengo la mkutano huo ni kufanya marekebisho madogo ya Katiba ya chama hicho.
Mkutano huo utafanyika kwa njia ya mtandao na tayari Makalla amesema maandalizi yote yamekamilika.
"Nimepokea simu nyingi kutoka kwa watu na kwenye mitandao watu wameandika mambo mengi, nawathibitishia kuwa kesho tutakuwa na mkutano Mkuu Maalumu ambao utafanyika kwa njia ya mtandao," amesema Makalla.
Chanzo: Mwananchi
Maana marekebisho hayo yanatokana na kikao gani cha Halmashauri kuu au Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu.Msajili wa vyama vya siasa bado ametumbua macho kama mjusi aliyebanwa na mlango! Huwezi kumsikia akisema jambo wala kukemea uvunjifu wa Katiba ya CCM!
Katiba ya nchi hawataki kubadiliChama Cha Mapinduzi (CCM) kimeita mkutano Mkuu Maalumu kesho Jumamosi Julai 26, 2025.
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amewaambia waandishi wa habari kuwa lengo la mkutano huo ni kufanya marekebisho madogo ya Katiba ya chama hicho.
Mkutano huo utafanyika kwa njia ya mtandao na tayari Makalla amesema maandalizi yote yamekamilika.
"Nimepokea simu nyingi kutoka kwa watu na kwenye mitandao watu wameandika mambo mengi, nawathibitishia kuwa kesho tutakuwa na mkutano Mkuu Maalumu ambao utafanyika kwa njia ya mtandao," amesema Makalla.
Chanzo: Mwananchi
ni ya ya makamu akishachukua kiti cha juu nini?Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeita mkutano Mkuu Maalumu kesho Jumamosi Julai 26, 2025.
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amewaambia waandishi wa habari kuwa lengo la mkutano huo ni kufanya marekebisho madogo ya Katiba ya chama hicho.
Mkutano huo utafanyika kwa njia ya mtandao na tayari Makalla amesema maandalizi yote yamekamilika.
"Nimepokea simu nyingi kutoka kwa watu na kwenye mitandao watu wameandika mambo mengi, nawathibitishia kuwa kesho tutakuwa na mkutano Mkuu Maalumu ambao utafanyika kwa njia ya mtandao," amesema Makalla.
Chanzo: Mwananchi
Msajili kimya ccm aina baya ila ni chadema tu ndio mbaya ila kwakwelli 🥺Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeita mkutano Mkuu Maalumu kesho Jumamosi Julai 26, 2025.