GE2025 CCM kufanya Marekebisho ya Katiba kwa njia ya mtandao Julai 26, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
ccm inaelekea kifo
 
Msajili wa vyama vya siasa bado ametumbua macho kama mjusi aliyebanwa na mlango! Huwezi kumsikia akisema jambo wala kukemea uvunjifu wa Katiba ya CCM!
Msajili hapo kimyaa wala hakuna aliyepatikana kwa njia isiyohalali😹😹, amekuwa kama tv tu remote anayo mtu mwingine akitaka anaongeza mute akitaka anaongeza sauti , na akitaka anaizima
 
WanaCCM wanataka kugeuzwa kama machapati,lazima wapigane makofi kwenye zoom safari hii
 
Hii dunia imekua ya kijinga sana. Sasa hayo marekebisho wanafanya kwa manufaa ya nani.
 
Genz wa kenya wakiamua huu mkutano unawrza usifanyike online.
 
Hayo marekebisho hayatafanya kazi kwa mchakato walioukosea labda kama ni projection ya uchaguzi ujao.

Kama walivyosema kwamba hawawezi kuahirisha uchaguzi hata utaratibu wa kila namba witiri ya mwisho wa mhula wa kiti cha rais ni lazima mlango wa wagombea wapya ufunguliwe sio kufuata matakwa ya Msoga na kundo lake.
 
 

Attachments

  • IMG-20250725-WA0000.jpg
    88.8 KB · Views: 9
kurekebisha katiba ni jambo kubwa linapaswa kufanyika kwa njia ya mkutano halisi( physical) siyo wa mtandao(virtue)
Katiba inasemaje namna ya kuitisha vikao vya chama.
Yule jamaa aliyeko kijiji cha Matitima na Liwale ambako hata mtandao haujafika , inakuwaje?
Katiba, Katiba, Katiba-tunakumbuka shuka kumesha pambazuka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…