GE2025 CCM kufanya Marekebisho ya Katiba kwa njia ya mtandao Julai 26, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hawana pesa za kuitisha mkutano mkuu maana wafadhili hawawezi kutoa pesa hawana uhakika kama Mama atapitishwa kugombea tena.
 
Hii kwa njia ya mtandao ni kichaka kipya wanachopenda kutumia mboga mboga.
 
"kama kamati kuu ikiona vinginevyo"

Kama ikiona Kwa jimbo la igalula mzalendo wa kweli hajatia Nia,na ikamuona anafaa kuwa Mbunge,kamati inaweza mpitisha yeye hasta kama hajatia Nia Wala kujaza fomu!

Kama ikiona vinginevyo!!

KAZI na utu tunasonga mbele,oktoba tuna tick!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…