Tetesi: CCM kufukuza Wanachama 11 wakiwemo Vigogo hawa 3


Kama huna cha kuandika, soma endelea
 
Inamaaana kikao cha Dodoma kumbe mlikuwa mnaongerrea maamuzi ya chama dora CCM??

Kumbe hayo majembe yanawanyima usingiziiii.
 
CCM hawajawahi kuthubutu kumfukuza uanachama mbunge wa kuchaguliwa hasa nyakati hizi za upinzani mkubwa. Hivyo itabaki kuwatisha
Ni kweli mkuu kwamba CCM hawajawahi kufanya hivyo ila ktk wakati huu wa mawazo ya bashite kushika hatamu lolote laweza kutokea
 
Kwani wakifukuzwa ndiyo ccm itasalimika?
 
Waende UDP maana mzee wao wa ccm B ameachwa mpweke huko Ole Medye ameacha nafasi kaamua kupumzika siasa., chadema hakuna nafasi iliyo wazi.
 
Hivi nyakati hizi kuna upinzani mkubwa au kelele tu?
Ukiitishwa uchaguzi leo kubenea atarudi kweli?

Hatarudi maana Magu ataiagiza tume isimtangaze mshindi.
 
Magu asipoangalia atafukuza wanachama wote kisha atajifukuza na yeye mwenyewe. Kwa ambao hamjanielewa ni kwamba, chama ni wanachama. Sasa ukifukuza wanachama wote kutakuwa hakuna chama. Kwahiyo naye atakuwa amejifukuza toka ccm.
Huyo haitakii mema ccm
 
Ubuyu kawaida si lazima uwe na mbegu
 
Waende UDP maana mzee wao wa ccm B ameachwa mpweke huko Ole Medye ameacha nafasi kaamua kupumzika siasa., chadema hakuna nafasi iliyo wazi.
Hebu nipe ubuyu mkuu. Ole Medeye amebwaga manyanga hata huko UDP ?? Si alipewa ukatibu wa chama huyu ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…