PreGE2025 CCM kuipa Majimbo CHAUMMA na kukifanya chama kikuu upinzani Bara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Eti mwaka 3000πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tatizo ni muda wa kuzipata hizo reforms na mwenye mamlaka kama atakua willing ku Negotiate
Wala usiogope mkuu hizo fedha za umma walizozielekeza Chauma wangepeleka kwenye mambo ya msingi kama reforms tungewaelewa.

Tutaendelea kupiga hizi kelele za reforms mpaka chura kiziwi asikie
 
Ishu sio Chadema kuteseka, ni nchi kubaki kwenye mkwamo mpaka 3000+
Ni huzuni mkuu, vinginevyo tuunge juhudi tu maana sioni dalili za kuwa defeat hawa jamaa
 
Tutaendelea kupiga hizi kelele za reforms mpaka chura kiziwi asikie
Juzi kapiga mkwara mzito na kuvipa vyombo vya ulinzi amri ya kushughulika na wowote atakayeleta ngebe.
 
Tanganyika ni mali ya CCM, kuwanyanganya tonge inahitajika akili na kazi kweli kweli...
Mapinduzi ya kweli yanaletwa na damu kumwagika. Wazalendo wa chama tawala kuungana na wapinzan wazalendo na military personnel wenye Nia njema na nchi, ndio hapo Nuru mpya itaangaza.
 
Inasikitisha sanaa mkuu, FAM kaamua kuBack Fire
Mzee mzima kaamua kujimaliza kisiasa, wacha apande jukwaani vijana wamtafune.

Watu wana data zote wanasubiri tu stering apande ulingoni.
 
Kinachotoa ubunge wa viti maalum ni jumla ya idadi ya kura za mgombea Urais.
 
Kinachotoa ubunge wa viti maalum ni jumla ya idadi ya kura za mgombea Urais.
Asante kwa ufafanuzi mkuu, lakini hizo hizo kura za uRais watapata kiduchu hata 5% na ndizo zitawapa viti maalumu hata viti 10 tu tosha sanaa
 

Hii ndio plan toka mwanzo, na ndio ilikuwa biashara ya Mbowe na kundi lake pale CDM.
 
Hii ndio plan toka mwanzo, na ndio ilikuwa biashara ya Mbowe na kundi lake pale CDM.
Hakika aisee, naona Mzee ataendelea kulamba Ruzuku na 10% za wabunge wa viti maalumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…