Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Hii itakuwa njema sana. Tulianza na NCCR MAGEUZI. Ikaja CUF baadae Chadema. Sasa hivi ni zamu ya CHAUMA!Wakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025.
Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye majimbo yasiyo pontential kwao, then watapata nafasi ya viti maalumu visivyopungua 20 na kukifanya CHAUMMA kuwa na wabunge 20+ bungeni ili kuwaonesha waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa kwamba kuna democrasia ya kweli Tanzania.
Katika hivyo viti maalumu lazima ateuliwe Devotha Minja, Catherine Ruge na Susan Kiwanga. Na hapa sasa ndo tutathibitisha huenda FAM alihusika kuwapeleka wale COVID 19 bungeni.
CHADEMA itaendelea kuswekwa gerezani na kuwekewa vikwazo mpaka 2030 watakua na hali ngumu sana.
Kwa mikakati hii, CCM itatawala mpaka mwaka 3000.
View attachment 3340920
Pigia mstari!Kwahiyo CCM ni Alpha na Omega?
Hawa ni wanachama?😂😂😂😂Wakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025.
Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye majimbo yasiyo pontential kwao, then watapata nafasi ya viti maalumu visivyopungua 20 na kukifanya CHAUMMA kuwa na wabunge 20+ bungeni ili kuwaonesha waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa kwamba kuna democrasia ya kweli Tanzania.
Katika hivyo viti maalumu lazima ateuliwe Devotha Minja, Catherine Ruge na Susan Kiwanga. Na hapa sasa ndo tutathibitisha huenda FAM alihusika kuwapeleka wale COVID 19 bungeni.
CHADEMA itaendelea kuswekwa gerezani na kuwekewa vikwazo mpaka 2030 watakua na hali ngumu sana.
Kwa mikakati hii, CCM itatawala mpaka mwaka 3000.
View attachment 3340920
Watu wanasoma shule ila sasa nimeamini tatizo kubwa ndani ya Tanzania ni ukosefu wa AKILI TIMAMU basi maana Elimu watu wanayo tatizo limebaki ni kukosa AKILI tu.Wakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025.
Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye majimbo yasiyo pontential kwao, then watapata nafasi ya viti maalumu visivyopungua 20 na kukifanya CHAUMMA kuwa na wabunge 20+ bungeni ili kuwaonesha waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa kwamba kuna democrasia ya kweli Tanzania.
Katika hivyo viti maalumu lazima ateuliwe Devotha Minja, Catherine Ruge na Susan Kiwanga. Na hapa sasa ndo tutathibitisha huenda FAM alihusika kuwapeleka wale COVID 19 bungeni.
CHADEMA itaendelea kuswekwa gerezani na kuwekewa vikwazo mpaka 2030 watakua na hali ngumu sana.
Kwa mikakati hii, CCM itatawala mpaka mwaka 3000.
View attachment 3340920
Ccm waachie madaraka wawape chaumma? Unajitambua kweli ndugu?Wakuu habarini.
Yale mapandikizi yenu yamehamia chauma sawa.
Wenye ccm Yao watahamia chauma sawa.
Ccm ni kinyonga ni kweli Haina shida.
Joto la kisiasa na kidiplomasia ni Kali ndani na nje ya nchi ni kweli.
CHADEMA ni chaguo la watanzania na MUNGU MWENYEZI.
Mabadiliko ni lazima nchi hii.
Mwamba lissu amebeba agenda muhimu Kwa taifa hili na ni lazima aikamilishe.
Mama Samia shtuka unataka kufukiwa kwenye shimo unalolichimba mwenyewe.
Tiss mnataka kuwadanganya watanzania na Dunia Kwa kuipa chauma nchi? Mtakosea sana kwani moto utabaki pale pale .Tupeni haki wananchi tukabidhi mamlaka YETU Kwa wazalendo CHADEMA
Mwisho haya ni mawazo ya kichaa asiyejua chochote kwenye taifa hili na sijui kusoma lkn picha naionana Wana jf wenzangu Kama mlifikiri Kuna Cha maana ninaandika basi mmejizingua 😂🤣😂🤣😂 HONGERA ndumbaru kwa utoplo wa Jana🤣🤣🤣
..kwa hiyo nchi hii mwenyewe ni tiss..?Umenichekesha Sana eti Tiss wawape chauma nchi
Nimecheka sana niliposomaUmenichekesha Sana eti Tiss wawape chauma nchi
We mnduku kweli, labda amebeba maono ya mkeo fala wewe. Usituhusishe watanzania na kibaraka huyo. Nyumbu 10000 haimaanishi ni watanzania wote.Wakuu habarini.
Yale mapandikizi yenu yamehamia chauma sawa.
Wenye ccm Yao watahamia chauma sawa.
Ccm ni kinyonga ni kweli Haina shida.
Joto la kisiasa na kidiplomasia ni Kali ndani na nje ya nchi ni kweli.
CHADEMA ni chaguo la watanzania na MUNGU MWENYEZI.
Mabadiliko ni lazima nchi hii.
Mwamba lissu amebeba agenda muhimu Kwa taifa hili na ni lazima aikamilishe.
Mama Samia shtuka unataka kufukiwa kwenye shimo unalolichimba mwenyewe.
Tiss mnataka kuwadanganya watanzania na Dunia Kwa kuipa chauma nchi? Mtakosea sana kwani moto utabaki pale pale .Tupeni haki wananchi tukabidhi mamlaka YETU Kwa wazalendo CHADEMA
Mwisho haya ni mawazo ya kichaa asiyejua chochote kwenye taifa hili na sijui kusoma lkn picha naionana Wana jf wenzangu Kama mlifikiri Kuna Cha maana ninaandika basi mmejizingua 😂🤣😂🤣😂 HONGERA ndumbaru kwa utoplo wa Jana🤣🤣🤣
Ujumbe umewafikia wanaoelewa.Wakuu habarini.

Tulia wewe vyama vya siasa imara duniani viko vitatu tu na kifupi vinatumia mambo fulani hivi ya kiroho ukiita ushirikina utajijuaWakuu habarini.
Yale mapandikizi yenu yamehamia chauma sawa.
Wenye ccm Yao watahamia chauma sawa.
Ccm ni kinyonga ni kweli Haina shida.
Joto la kisiasa na kidiplomasia ni Kali ndani na nje ya nchi ni kweli.
CHADEMA ni chaguo la watanzania na MUNGU MWENYEZI.
Mabadiliko ni lazima nchi hii.
Mwamba lissu amebeba agenda muhimu Kwa taifa hili na ni lazima aikamilishe.
Mama Samia shtuka unataka kufukiwa kwenye shimo unalolichimba mwenyewe.
Tiss mnataka kuwadanganya watanzania na Dunia Kwa kuipa chauma nchi? Mtakosea sana kwani moto utabaki pale pale .Tupeni haki wananchi tukabidhi mamlaka YETU Kwa wazalendo CHADEMA
Mwisho haya ni mawazo ya kichaa asiyejua chochote kwenye taifa hili na sijui kusoma lkn picha naionana Wana jf wenzangu Kama mlifikiri Kuna Cha maana ninaandika basi mmejizingua 😂🤣😂🤣😂 HONGERA ndumbaru kwa utoplo wa Jana🤣🤣🤣
Nadhani hilo litakuwa jambo dogo,kulinganisha na kuwa chama kikuu cha upinzani.Na Zitto wamemuwekea Baba levo kule Kigoma kupitia Ccm
Wakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025.
Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye majimbo yasiyo pontential kwao, then watapata nafasi ya viti maalumu visivyopungua 20 na kukifanya CHAUMMA kuwa na wabunge 20+ bungeni ili kuwaonesha waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa kwamba kuna democrasia ya kweli Tanzania.
Katika hivyo viti maalumu lazima ateuliwe Devotha Minja, Catherine Ruge na Susan Kiwanga. Na hapa sasa ndo tutathibitisha huenda FAM alihusika kuwapeleka wale COVID 19 bungeni.
CHADEMA itaendelea kuswekwa gerezani na kuwekewa vikwazo mpaka 2030 watakua na hali ngumu sana.
Kwa mikakati hii, CCM itatawala mpaka mwaka 3000.
View attachment 3340920
SaSa Matusi ya nini wewe bichwa maji la kijaniWe mnduku kweli, labda amebeba maono ya mkeo fala wewe. Usituhusishe watanzania na kibaraka huyo. Nyumbu 10000 haimaanishi ni watanzania wote.