Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Ndiyo maana Polepole humsifia Mwenyekiti tu lakini hajawahi kumsifia Katibu mkuu wa chama chake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati ya viongozi waliokuwa wanavujisha mipango ya upinzani wanajulikana sanaRipoti ya siri ya mwenendo wa CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 imevuja na aliyeivujisha hajajulikana bado. Inadaiwa kuwa mwaka 2016 Rais Magufuli aliamuru kufanyika kwa uchunguzi ndani ya chama hicho kuhusu mwenendo wake katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Katika sehemu ya taarifa ya ripoti hiyo inaonyesha kuwa Lowassa alikuwa tishio kwa serikali na alikuwa na kila dalili za kushinda uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 (Kama alikuja kushinda au hakushinda hilo hatujui).
Pia kuna sehemu taarifa hiyo inadai wapo baadhi ya viongozi wa upinzani waliopewa kiasi kikubwa cha fedha ili kumhujumu Lowassa. (Dah kumbe sio tu wale walioondoka bali wapo wengine ndani walikuwa wanatoa nyendo zote za mzee kutokana na mgao)
Kumbe Kikwete alikuwa anafanya vikao vya siri na viongozi wa upinzani kumhujumu mzee Lowassa. Inadaiwa wakati wa kampeni waliwahi kufanya kikao kimoja Morogoro.
Aisee inabidi wapinzani wajikomboe kwanza na njaa zao ndipo wawe na dhamira ya kweli ya kufanya siasa za kipinzani.
Hapo Lumumba hapakaliki tunaambiwa Polepole na Bashiru hawaongei na si hivyo tu bali hata Polepole na Kinana waliwahi kusuluhishwa mara mbili na waziri mkuu Kassim Majaliwa. Inadaiwa Bashiru kampiga marufuku asiandamane naye kwenye mikutano yake.
Umbea.
Ndugu Ebola, huo sio umbea, bali ni ukweli mtupu na unathibitishika. Huyu PP alipigwa stop na Kinana na wala hakukuwa na usuluhisho wowote.Umbea.
Weka hiyo ripoti hapa wote tuisome basi.Ndugu Ebola, huo sio umbea, bali ni ukweli mtupu na unathibitishika. Huyu PP alipigwa stop na Kinana na wala hakukuwa na usuluhisho wowote.
Wafanyikazi wa Lumumba wengi wao walimchukia Na kugombana na PP, ikabidi Kinana amuite na kumweka kikao, akamlazimisha aheshimu wenzake.
PP ni arogant inteligent fool
Weka picha nyingine. Hii haitoshi.Wewe mwenyewe umbea ndiyo nyumbani kwenuView attachment 1215811
Hivi umbea ni kusema na kusambaza jambo lisilokua la kweli au hata kama ni lakweli lakini halikuhusu?Umbea.
Nani kavujisha hii siri yenu?Umbea.
Habari ya kutunga na kufikirika hiyo,kama unayo hiyo ripoti si uiweke hapa?mambo ya kuandika ''habari ya kuaminika''ripoti ya siri ni uongo tu wa kutunga hakuna ripoti ya siri,kama unayo weka hapa la sivyo hizo ni simulizi za vijiwe vya wavuuta msuba wakiwa geto za uswaziRipoti ya siri ya mwenendo wa CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 imevuja na aliyeivujisha hajajulikana bado. Inadaiwa kuwa mwaka 2016 Rais Magufuli aliamuru kufanyika kwa uchunguzi ndani ya chama hicho kuhusu mwenendo wake katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Katika sehemu ya taarifa ya ripoti hiyo inaonyesha kuwa Lowassa alikuwa tishio kwa serikali na alikuwa na kila dalili za kushinda uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 (Kama alikuja kushinda au hakushinda hilo hatujui).
Pia kuna sehemu taarifa hiyo inadai wapo baadhi ya viongozi wa upinzani waliopewa kiasi kikubwa cha fedha ili kumhujumu Lowassa. (Dah kumbe sio tu wale walioondoka bali wapo wengine ndani walikuwa wanatoa nyendo zote za mzee kutokana na mgao)
Kumbe Kikwete alikuwa anafanya vikao vya siri na viongozi wa upinzani kumhujumu mzee Lowassa. Inadaiwa wakati wa kampeni waliwahi kufanya kikao kimoja Morogoro.
Aisee inabidi wapinzani wajikomboe kwanza na njaa zao ndipo wawe na dhamira ya kweli ya kufanya siasa za kipinzani.
Hapo Lumumba hapakaliki tunaambiwa Polepole na Bashiru hawaongei na si hivyo tu bali hata Polepole na Kinana waliwahi kusuluhishwa mara mbili na waziri mkuu Kassim Majaliwa. Inadaiwa Bashiru kampiga marufuku asiandamane naye kwenye mikutano yake.
Kwanza iwekwe ripoti ta EbolaWeka hiyo ripoti hapa wote tuisome basi.
Nimeipeleka kwa Mashinji kwanza. Anaishughulikia.Kwanza iwekwe ripoti ta Ebola