Tetesi: CCM kumewaka moto, ripoti ya siri ya mwaka 2016 yavuja. Polepole hakuiva na Kinana na sasa Bashiru

Ripoti ya siri ya mwenendo wa CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 imevuja na aliyeivujisha hajajulikana bado. Inadaiwa kuwa mwaka 2016 Rais Magufuli aliamuru kufanyika kwa uchunguzi ndani ya chama hicho kuhusu mwenendo wake katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.

Katika sehemu ya taarifa ya ripoti hiyo inaonyesha kuwa Lowassa alikuwa tishio kwa serikali na alikuwa na kila dalili za kushinda uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 (Kama alikuja kushinda au hakushinda hilo hatujui).

Pia kuna sehemu taarifa hiyo inadai wapo baadhi ya viongozi wa upinzani waliopewa kiasi kikubwa cha fedha ili kumhujumu Lowassa. (Dah kumbe sio tu wale walioondoka bali wapo wengine ndani walikuwa wanatoa nyendo zote za mzee kutokana na mgao)

Kumbe Kikwete alikuwa anafanya vikao vya siri na viongozi wa upinzani kumhujumu mzee Lowassa. Inadaiwa wakati wa kampeni waliwahi kufanya kikao kimoja Morogoro.

Aisee inabidi wapinzani wajikomboe kwanza na njaa zao ndipo wawe na dhamira ya kweli ya kufanya siasa za kipinzani.

Hapo Lumumba hapakaliki tunaambiwa Polepole na Bashiru hawaongei na si hivyo tu bali hata Polepole na Kinana waliwahi kusuluhishwa mara mbili na waziri mkuu Kassim Majaliwa. Inadaiwa Bashiru kampiga marufuku asiandamane naye kwenye mikutano yake.

"Sababu ya njaa kali, isingekuwa njaa.".........
 
Uchaguzi chadema lini?
 
Tukusaidie nini wewe katoto?
 
Huna tofauti na nabii Tito.
 
Mmejaaliwa umbea,story za kutunga na ujinga
 
Acha wafyekane tu we unafikili zambi ya kuua wenzako kisa kulinda madaraka. Ni ndogo?
 
Jk kuwatumia Wapinzani kumhujumu Lowassa inahitaji kuvuja Report ya Siri?

Kubenea,Mbowe
Haha bashite at work wewe usalama wako kubaki mkuu wa mkoa lazima umtajebmbowe mjinga wewe madawa ya kulevya
 
Mbona hujasema namna Mbowe alovyokuwa anashirikiana na Lowassa kuihujumu chadema tangia 2011
Kwa kwa Magufuli nyumba inawaka moto mala ma polisi watukanane yeye anatukana viongozi wa vyombo vya ulinzi wa kuu wa mikoa wanachongeana mawaziri na ma katibu wao parka na panda nyumba kwenye chama ndio uozo nchi ipo varu varu tu
 
Hoja yako makini sana.
Ingawa siyo mwana CCM lakini navutiwa sana na namna wanavyojitathimini kila baada ya uchaguzi.
Haya ndiyo mambo ambayo upinzani unapaswa kuyafanya kila baada ya uchaguzi ili kuwajua nyoka waliopenyezwa
Kwa akili yako ya ki roboto hawafanyi
 
MBONA HABARI ZA FLUSH ZILIZOOKOTWA KWENYE AJALI YA ASIYEJULIKANA ALIYEJULIKANA ZINACHELEWA KUTOLEWA HADHARANI?

AU ZIMEDUKULIWA?
 
Attachments

  • image-156.png
    image-156.png
    218.5 KB · Views: 6
Nadhani wote Pole Pole na Bashiru ni watu wazuri na wana CV zao huko walikotoka. Wanafanana kitu kimoja ambacho wote wawili ni waumini wa demokrasia, haki za binadamu na utawala wa Sheria. Kufarakana kwao kwa mtazamo wangu ni kitu ambacho hakiepukiki kutokana na mfumo wa utawala wa Mwenyekiti wao.

Kwanza Mwenyekiti wao anapenda uchimvi na majungu, kwa hiyo the more unampelekea umbeya the better you become closer and trusted.

Pili Katibu Mwenezi PoLePoLe amekuwapo ofsini kabla ya Uteuzi wa Bashiru. Na kwa sababu Kinana muda mrefu alikuwa hafanyi kazi za CCM kwa hiyo de facto Secetary General alikuwa PoLePoLe kwa kipindi chote cha Kinana.

Ujio wa Bashiru moja kwa moja ulipoka au ulirudisha madaraka yake halalai yanako stahili. Na hili lazima halikumfurahisha PoLePoLe. Kwenye situation kama hii lazima kuwe na kitu kinaitwa witch hunt, na ndiyo hiki mtoa mada umekiweka.

Nini Kifanyike;
Alipotoka Kinana Mwenyekiti angevunja Sekretariati yote na kisha kumhusisha Bashiru Ally kuunda Sekretariati. Bado Mwenyekiti hajachelewa, anaweza kumpa PoLePoLe kazi nyingine ya Kiserikali hata kuwa RC and then aunde upya Sekrerariati yake.

Hawezi ku afford kumuacha Bashiru Ally kwa kuwa yuko vizuri kwenye kazi, itikadi na ufuatiliaji na mikakati.
Intelligent
 
Ripoti ya siri ya mwenendo wa CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 imevuja na aliyeivujisha hajajulikana bado. Inadaiwa kuwa mwaka 2016 Rais Magufuli aliamuru kufanyika kwa uchunguzi ndani ya chama hicho kuhusu mwenendo wake katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.

Katika sehemu ya taarifa ya ripoti hiyo inaonyesha kuwa Lowassa alikuwa tishio kwa serikali na alikuwa na kila dalili za kushinda uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 (Kama alikuja kushinda au hakushinda hilo hatujui).

Pia kuna sehemu taarifa hiyo inadai wapo baadhi ya viongozi wa upinzani waliopewa kiasi kikubwa cha fedha ili kumhujumu Lowassa. (Dah kumbe sio tu wale walioondoka bali wapo wengine ndani walikuwa wanatoa nyendo zote za mzee kutokana na mgao)

Kumbe Kikwete alikuwa anafanya vikao vya siri na viongozi wa upinzani kumhujumu mzee Lowassa. Inadaiwa wakati wa kampeni waliwahi kufanya kikao kimoja Morogoro.

Aisee inabidi wapinzani wajikomboe kwanza na njaa zao ndipo wawe na dhamira ya kweli ya kufanya siasa za kipinzani.

Hapo Lumumba hapakaliki tunaambiwa Polepole na Bashiru hawaongei na si hivyo tu bali hata Polepole na Kinana waliwahi kusuluhishwa mara mbili na waziri mkuu Kassim Majaliwa. Inadaiwa Bashiru kampiga marufuku asiandamane naye kwenye mikutano yake.
Tuwekee hiyo taarifa tuchambue wenyewe
 
Back
Top Bottom