Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Sawa fundi maikoUmbea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa fundi maikoUmbea.
Hizi habari haziwasaidii chochote CHADEMA.
Kama ccm wanauwezo wa kujitathmini wapi walikosea hivi Chadema mmewahi kufanya uchunguzi nini kilitokea 2015.?
Waaaacha waowaaaneeeee wacha waowaaaneeee papapapararaaaaa×2 wanasemaga mambo ya ngoswe mwachie ngoswe siasa za Africa pasua kichwaRipoti ya siri ya mwenendo wa CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 imevuja na aliyeivujisha hajajulikana bado. Inadaiwa kuwa mwaka 2016 Rais Magufuli aliamuru kufanyika kwa uchunguzi ndani ya chama hicho kuhusu mwenendo wake katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Katika sehemu ya taarifa ya ripoti hiyo inaonyesha kuwa Lowassa alikuwa tishio kwa serikali na alikuwa na kila dalili za kushinda uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 (Kama alikuja kushinda au hakushinda hilo hatujui).
Pia kuna sehemu taarifa hiyo inadai wapo baadhi ya viongozi wa upinzani waliopewa kiasi kikubwa cha fedha ili kumhujumu Lowassa. (Dah kumbe sio tu wale walioondoka bali wapo wengine ndani walikuwa wanatoa nyendo zote za mzee kutokana na mgao)
Kumbe Kikwete alikuwa anafanya vikao vya siri na viongozi wa upinzani kumhujumu mzee Lowassa. Inadaiwa wakati wa kampeni waliwahi kufanya kikao kimoja Morogoro.
Aisee inabidi wapinzani wajikomboe kwanza na njaa zao ndipo wawe na dhamira ya kweli ya kufanya siasa za kipinzani.
Hapo Lumumba hapakaliki tunaambiwa Polepole na Bashiru hawaongei na si hivyo tu bali hata Polepole na Kinana waliwahi kusuluhishwa mara mbili na waziri mkuu Kassim Majaliwa. Inadaiwa Bashiru kampiga marufuku asiandamane naye kwenye mikutano yake.
Tupe ulumumbaUmbea.
Tubainishie hayo maendeleo. Mimi nina njaa usiniambie habari ya amaniHilo sisi Watz halituhusu, wakipatana au wakichukiana kazi kwao.
Sisi tunachotaka kuona kuwa nchi NA wananchi wake wanakuwa NA maendeleo endelevu, uchumi mkubwa, pia wanaishi KWA furaha na amani tele ktk maisha yao.
"Tanzania bila vyama vya siasa NA wanasiasa inawezekana na maisha yatakuwa bora zaidi"
Natamani wangepasuka siku nyingi tupate balance of power.
Mkatathmini ACTHizi habari haziwasaidii chochote CHADEMA.
Kama ccm wanauwezo wa kujitathmini wapi walikosea hivi Chadema mmewahi kufanya uchunguzi nini kilitokea 2015.?
Hilo halitazuia uchaguzi wa mwenyekiti kufanyika hapo Ufipa!Ripoti ya siri ya mwenendo wa CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 imevuja na aliyeivujisha hajajulikana bado. Inadaiwa kuwa mwaka 2016 Rais Magufuli aliamuru kufanyika kwa uchunguzi ndani ya chama hicho kuhusu mwenendo wake katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Katika sehemu ya taarifa ya ripoti hiyo inaonyesha kuwa Lowassa alikuwa tishio kwa serikali na alikuwa na kila dalili za kushinda uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 (Kama alikuja kushinda au hakushinda hilo hatujui).
Pia kuna sehemu taarifa hiyo inadai wapo baadhi ya viongozi wa upinzani waliopewa kiasi kikubwa cha fedha ili kumhujumu Lowassa. (Dah kumbe sio tu wale walioondoka bali wapo wengine ndani walikuwa wanatoa nyendo zote za mzee kutokana na mgao)
Kumbe Kikwete alikuwa anafanya vikao vya siri na viongozi wa upinzani kumhujumu mzee Lowassa. Inadaiwa wakati wa kampeni waliwahi kufanya kikao kimoja Morogoro.
Aisee inabidi wapinzani wajikomboe kwanza na njaa zao ndipo wawe na dhamira ya kweli ya kufanya siasa za kipinzani.
Hapo Lumumba hapakaliki tunaambiwa Polepole na Bashiru hawaongei na si hivyo tu bali hata Polepole na Kinana waliwahi kusuluhishwa mara mbili na waziri mkuu Kassim Majaliwa. Inadaiwa Bashiru kampiga marufuku asiandamane naye kwenye mikutano yake.
Mkuu jiandae nyaraka zinaletwa muda si mrefu , kuna jamaa kanitonya kwamba anazo mkononi
Mungu ibariki JF
Weka hiyo ripoti hapa wote tuisome basi.
Habari ya kutunga na kufikirika hiyo,kama unayo hiyo ripoti si uiweke hapa?mambo ya kuandika ''habari ya kuaminika''ripoti ya siri ni uongo tu wa kutunga hakuna ripoti ya siri,kama unayo weka hapa la sivyo hizo ni simulizi za vijiwe vya wavuuta msuba wakiwa geto za uswazi
Wanajua nini kilitokea kwasababu wenyewe ndo wanaoinjinia "siasa za kisasa". Ni wepesi kusingizia wenzao kuwa ni wasaliti wakati wao walipewa hela na CCM wakati wa kampeni ili Mgombea wao wa urais asifike na kufanya kampeni jimbo la Ruangwa ili kutoa nafuu kwa Majaliwa ambaye alikuwa hoi dhidi ya mpinzani wake kutoka CUF.Hizi habari haziwasaidii chochote CHADEMA.
Kama ccm wanauwezo wa kujitathmini wapi walikosea hivi Chadema mmewahi kufanya uchunguzi nini kilitokea 2015.?
Kwa hiyo?Sawa fundi maikoView attachment 1215855
Nisaidie kujijibuKwa hiyo?
Afisa kweni Paka wa Bar wakoje?Wafuasi wa huko lumumba hawaba tofauti na paka wa bar
Nangoja ujijibu kwanza.Nisaidie kujijibu
Hakuna cha ripoti wala nini. Uzushi mtupu.Usome mara ya pili? Ww si umeshaisomea huko ofcn?