Tetesi: CCM kumewaka moto, ripoti ya siri ya mwaka 2016 yavuja. Polepole hakuiva na Kinana na sasa Bashiru

Tuwekee tusome. Mbona unaificha hiyo ripoti? Kama hutaki kuweka mods futa huu uzi, hauna maana.
 
Ripoti ya siri ya mwenendo wa CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 imevuja na aliyeivujisha hajajulikana bado. Inadaiwa kuwa mwaka 2016 Rais Magufuli aliamuru kufanyika kwa uchunguzi ndani ya chama hicho kuhusu mwenendo wake katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Katika sehemu ya taarifa ya ripoti hiyo inaonyesha kuwa Lowassa alikuwa tishio kwa serikali na alikuwa na kila dalili za kushinda uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 (Kama alikuja kushinda au hakushinda hilo hatujui).
Pia kuna sehemu taarifa hiyo inadai wapo baadhi ya viongozi wa upinzani waliopewa kiasi kikubwa cha fedha ili kumhujumu Lowassa. (Dah kumbe sio tu wale walioondoka bali wapo wengine ndani walikuwa wanatoa nyendo zote za mzee kutokana na mgao)
Kumbe Kikwete alikuwa anafanya vikao vya siri na viongozi wa upinzani kumhujumu mzee Lowassa. Inadaiwa wakati wa kampeni waliwahi kufanya kikao kimoja Morogoro.
Aisee inabidi wapinzani wajikomboe kwanza na njaa zao ndipo wawe na dhamira ya kweli ya kufanya siasa za kipinzani.
Hapo Lumumba hapakaliki tunaambiwa Polepole na Bashiru hawaongei na si hivyo tu bali hata Polepole na Kinana waliwahi kusuluhishwa mara mbili na waziri mkuu Kassim Majaliwa. Inadaiwa Bashiru kampiga marufuku asiandamane naye kwenye mikutano yake.
Kwani wewe ndugu zako wote wanakupenda! Hata wale wa tumbo moja wote wanapendana!
 
mambo ya ccm lkn taarifa nzima inahusu upinzani?? foolish.
 
Hilo sisi Watz halituhusu, wakipatana au wakichukiana kazi kwao.

Sisi tunachotaka kuona kuwa nchi NA wananchi wake wanakuwa NA maendeleo endelevu, uchumi mkubwa, pia wanaishi KWA furaha na amani tele ktk maisha yao.

"Tanzania bila vyama vya siasa NA wanasiasa inawezekana na maisha yatakuwa bora zaidi"
hilo ndilo la msingi mengine hayatuhusu. mambo ya ccm ni ya ccm na ulaji wao.
 
Dino Disuzi Dyambikiswa(Huu Mchuzi Umepikwa Kweli Kweli)
Kizigua Hicho
 
Ripoti ya siri ya mwenendo wa CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 imevuja na aliyeivujisha hajajulikana bado. Inadaiwa kuwa mwaka 2016 Rais Magufuli aliamuru kufanyika kwa uchunguzi ndani ya chama hicho kuhusu mwenendo wake katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.

Katika sehemu ya taarifa ya ripoti hiyo inaonyesha kuwa Lowassa alikuwa tishio kwa serikali na alikuwa na kila dalili za kushinda uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 (Kama alikuja kushinda au hakushinda hilo hatujui).

Pia kuna sehemu taarifa hiyo inadai wapo baadhi ya viongozi wa upinzani waliopewa kiasi kikubwa cha fedha ili kumhujumu Lowassa. (Dah kumbe sio tu wale walioondoka bali wapo wengine ndani walikuwa wanatoa nyendo zote za mzee kutokana na mgao)

Kumbe Kikwete alikuwa anafanya vikao vya siri na viongozi wa upinzani kumhujumu mzee Lowassa. Inadaiwa wakati wa kampeni waliwahi kufanya kikao kimoja Morogoro.

Aisee inabidi wapinzani wajikomboe kwanza na njaa zao ndipo wawe na dhamira ya kweli ya kufanya siasa za kipinzani.

Hapo Lumumba hapakaliki tunaambiwa Polepole na Bashiru hawaongei na si hivyo tu bali hata Polepole na Kinana waliwahi kusuluhishwa mara mbili na waziri mkuu Kassim Majaliwa. Inadaiwa Bashiru kampiga marufuku asiandamane naye kwenye mikutano yake.
Kwenye hiyo ripoti jina LA Zito kabwr halikosekani
 
Back
Top Bottom