Tetesi: CCM kumewaka moto, ripoti ya siri ya mwaka 2016 yavuja. Polepole hakuiva na Kinana na sasa Bashiru

Polepole alichofanikiwa ni kuzunguka nchi nzima na kifuko chake cha ngawira baada ya uchaguzi. Kila anapoondoka diwani atatangaza kuunga mkono juhudi za awamu ya tano.
 
Mbona hujasema namna Mbowe alovyokuwa anashirikiana na Lowassa kuihujumu chadema tangia 2011
 
Kati ya viongozi waliokuwa wanavujisha mipango ya upinzani wanajulikana sana
 
Hizi habari haziwasaidii chochote CHADEMA.

Kama ccm wanauwezo wa kujitathmini wapi walikosea hivi Chadema mmewahi kufanya uchunguzi nini kilitokea 2015.?
 
Ndugu Ebola, huo sio umbea, bali ni ukweli mtupu na unathibitishika. Huyu PP alipigwa stop na Kinana na wala hakukuwa na usuluhisho wowote.

Wafanyikazi wa Lumumba wengi wao walimchukia Na kugombana na PP, ikabidi Kinana amuite na kumweka kikao, akamlazimisha aheshimu wenzake.

PP ni arogant inteligent fool
 
Weka hiyo ripoti hapa wote tuisome basi.
 
Habari ya kutunga na kufikirika hiyo,kama unayo hiyo ripoti si uiweke hapa?mambo ya kuandika ''habari ya kuaminika''ripoti ya siri ni uongo tu wa kutunga hakuna ripoti ya siri,kama unayo weka hapa la sivyo hizo ni simulizi za vijiwe vya wavuuta msuba wakiwa geto za uswazi
 
Shetani akimtumia binadamu ili kufanikisha mambo ya kishetani humfanya tajiri wa muda na baada ya hapo ni kilio na kusaga meno
 
Bashiru na polepole wanajifunza siasa uzeeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…