Tetesi: CCM kumewaka moto, ripoti ya siri ya mwaka 2016 yavuja. Polepole hakuiva na Kinana na sasa Bashiru

Hoja yako makini sana.
Ingawa siyo mwana CCM lakini navutiwa sana na namna wanavyojitathimini kila baada ya uchaguzi.
Haya ndiyo mambo ambayo upinzani unapaswa kuyafanya kila baada ya uchaguzi ili kuwajua nyoka waliopenyezwa
Hizi habari haziwasaidii chochote CHADEMA.

Kama ccm wanauwezo wa kujitathmini wapi walikosea hivi Chadema mmewahi kufanya uchunguzi nini kilitokea 2015.?
 
Waaaacha waowaaaneeeee wacha waowaaaneeee papapapararaaaaa×2 wanasemaga mambo ya ngoswe mwachie ngoswe siasa za Africa pasua kichwa
 
Tubainishie hayo maendeleo. Mimi nina njaa usiniambie habari ya amani
 
Hizi habari haziwasaidii chochote CHADEMA.

Kama ccm wanauwezo wa kujitathmini wapi walikosea hivi Chadema mmewahi kufanya uchunguzi nini kilitokea 2015.?
Mkatathmini ACT
 
Hilo halitazuia uchaguzi wa mwenyekiti kufanyika hapo Ufipa!
 

Inawezekana hili linalosemwa sio kweli lakini siku hizi Polepole kiherehere kimemuisha.
 
Nadhani wote Pole Pole na Bashiru ni watu wazuri na wana CV zao huko walikotoka. Wanafanana kitu kimoja ambacho wote wawili ni waumini wa demokrasia, haki za binadamu na utawala wa Sheria. Kufarakana kwao kwa mtazamo wangu ni kitu ambacho hakiepukiki kutokana na mfumo wa utawala wa Mwenyekiti wao.

Kwanza Mwenyekiti wao anapenda uchimvi na majungu, kwa hiyo the more unampelekea umbeya the better you become closer and trusted.

Pili Katibu Mwenezi PoLePoLe amekuwapo ofsini kabla ya Uteuzi wa Bashiru. Na kwa sababu Kinana muda mrefu alikuwa hafanyi kazi za CCM kwa hiyo de facto Secetary General alikuwa PoLePoLe kwa kipindi chote cha Kinana.

Ujio wa Bashiru moja kwa moja ulipoka au ulirudisha madaraka yake halalai yanako stahili. Na hili lazima halikumfurahisha PoLePoLe. Kwenye situation kama hii lazima kuwe na kitu kinaitwa witch hunt, na ndiyo hiki mtoa mada umekiweka.

Nini Kifanyike;
Alipotoka Kinana Mwenyekiti angevunja Sekretariati yote na kisha kumhusisha Bashiru Ally kuunda Sekretariati. Bado Mwenyekiti hajachelewa, anaweza kumpa PoLePoLe kazi nyingine ya Kiserikali hata kuwa RC and then aunde upya Sekrerariati yake.

Hawezi ku afford kumuacha Bashiru Ally kwa kuwa yuko vizuri kwenye kazi, itikadi na ufuatiliaji na mikakati.
 
Hizi habari haziwasaidii chochote CHADEMA.

Kama ccm wanauwezo wa kujitathmini wapi walikosea hivi Chadema mmewahi kufanya uchunguzi nini kilitokea 2015.?
Wanajua nini kilitokea kwasababu wenyewe ndo wanaoinjinia "siasa za kisasa". Ni wepesi kusingizia wenzao kuwa ni wasaliti wakati wao walipewa hela na CCM wakati wa kampeni ili Mgombea wao wa urais asifike na kufanya kampeni jimbo la Ruangwa ili kutoa nafuu kwa Majaliwa ambaye alikuwa hoi dhidi ya mpinzani wake kutoka CUF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…