Pre GE2025 CCM kunafukuta, mpasuko mkubwa waja kuelekea Oktoba 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwenye akili ataweza kujua kilicho ndani ya mioyo ya wajumbe kwa kuangalia clip ya kwanza.
 
Whatever it is going to....let it be !!!
 
Naunga mkono , kilichofanyika ni uhuni, wa kubana fulsa za watu wengine kugombea ndani ya ccm , mwana ccm mwenye akili hawezi kubaliana na hili,
 
mnajisumbua tu subirini mpaka makalio yaote sugu kwa kusubiri kuwa watavurugana
 
Source ya yote hayo ni born town wa Msoga
Wamuite wamuulize hiyo mamlaka ameitoa kwa nani?
 
Na kuna wengine yuko nao high table wamesimama kuunga mkono hoja
 
Yale uliyokuwa unayazungumza kwa chadema ulikuwa hufanyi ramli?
maskini,
ramli na ushirikiana vinawatesa hadi warembo dah,

yaani unawamention useless persons ndani ya CCM kwa ujasiri hivyo? mbona ni dhahiri huo ni ushirkina madam!πŸ’
al
 
Mashairi ya chekacheka

"Wanauana,
Wanachinjana,
Wanapigana
Sababu ya tonge la ugali"
 
Kilichofanyika Dodoma ni uhuni,hakuna mwanaccm mwenye akili timamu anaeweza kukubaliana nao
 
Keshaonja buyu la asali, hang'oki hata kwa graderπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.

Yani umwambie arudi nyumbani kutumikia zamu ya uke wenza wakati anakula mema ya nchi kiubwete. Huyu atang'anga'ania mpaka kieleweke.
Hakika asali ni tamu
 
Ukiwa CCM lazima ujizime data
 
Chadema badilini propaganda team yenu

Nila wakati wa uchaguzi mna single moja tu?
 
Uchaguz wenu ushaisha, malizeni tofauti zenu mukijenge chama chenu angalau mupambanie wabunge wa4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…