CCM kupita kwa kishindo Unguja na Pemba ni ajabu la saba la dunia

CCM kupita kwa kishindo Unguja na Pemba ni ajabu la saba la dunia

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Katika mkutano na waandishi wa habari mjini Dodoma, Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Kheri James ameeleza kumshangaa Mshauri mkuu wa chama cha ACT-Wazarendo Maalim Seif Sharif kutoka na maoni yake kuwa chama chake kinakubalika visiwani Zanzibar.

Bw. Kheri amesema chama cha Maalim Seif ni chama kisicho na wafuasi bali kinachotegemea majina ya watu kuwa maarufu.

Aidha ameongeza kuwa Visiwa hivyo vitabaki kuwa ngome imara ya Chama cha Mapinduzi.

Haya yamekuja baada ya Maalim Seif Sharif Hamad, kuzungumza dhidi ya kile anachosema ni maandalizi ya fujo yanayoratibiwa na viongozi wa ngazi za juu wa serikali na chama cha CCM.

1575435431941.jpeg
 
Washenzi hawashindwi kushenzika zaidi. Y aJecha yaweza kuwa cha mtoto.
 
kwani we unajuwa ni nchi?
Wewe mimi nina akili kubwa Sana kukuzidi wewe, na ninajua kuwa nina akili kubwa kukuzidi, kwa hiyo koma kabisa kunizoea, nitakuchakaza mpaka suruali yako ichanikie barabarani
 
Sio kweli hao mahzib ni wachache mno tena wanechokwa kwa ubaguzi wao kuwabagua wanatumbi
CCM ni wabaguzi sana, sisi tunajua Zanzibar na Pemba kuna Watanzania. Hawa Mahzib mmewatoa wapi katika nchi huru hii?
 
Mahzib walikuwa wanatamani waendelee kutawala kisultan Zanzibar baada ya kufurumushwa na Wananchi

Walitamani sultan aendelee kuongoza

Wanawadharau sana wamatumbi

Ndio maana kina maalim seif wamepuuzwa huko pemba

Baada ya Mapinduzi wote ni Watanzania acha ubaguzi.
 
Hawa wanataka kufa ya Tanganyika wanataka kuyapeleka Zanzibar, wazanzibar siyo watu wakuchezea kama watanganyika.
 
Back
Top Bottom