Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Ndugu zangu Watanzania,
Kama ulikuwa umepanga siku ya kesho kusafiri au kwenda kutembelea majirani au kwenda kuzurura au kwenda matembezini . Basi ni bora ukaghairi kufanya mambo hayo yoote na kubakia ukiwa umetulia tu mbele ya Tv yako binafsi au ya jirani yako.
Kwa sababu siku ya kesho CCM kupitia CPA Amos Makalla inakwenda Kulitetemesha Taifa kwa kuzungumza mambo mazito kwelikweli yatakayo isimamisha nchi na shughuli zote kusimama kwa muda.
Kesho kama ulikuwa hata unapanga kutoa tangazo la kibiashara ni bora ukasubiri wiki hii ipite kwanza. Kwa kuwa habari ya Mjini itakuwa ni CCM pekee kila kona ya Nchi na kila kwenye kinywa cha Mtanzania. Kaa kwa kutulia msubiri kukuche ili mpate kusikia kile chama cha Mapinduzi kinakwenda kuzungumza.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.