GE2025 CCM Kupitia CPA Amos Makalla Kulitetemesha Taifa kwa kuzungumza Mambo Mazito Siku Ya Kesho. Nchi inakwenda Kusimama

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Shida yenu mnajisahau sn
Sawa ngoja tuone ht huo uchaguzi km mtafanya na kufanikiwa kukaa kwenye hivyo viti, nimekaa pale 😂😂

Yaani hivyo viti vitawatapika km hivi ....
Endeleeni kujitekenya na kujichekesha wenyewe kama mazuzu
 
Hii misiba mwendo wa kutetemeshana
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kama ulikuwa umepanga siku ya kesho kusafiri au kwenda kutembelea majirani au kwenda kuzurura au kwenda matembezini . Basi ni bora ukaghairi kufanya mambo hayo yoote na kubakia ukiwa umetulia tu mbele ya Tv yako binafsi au ya jirani yako.

Kwa sababu siku ya kesho CCM kupitia CPA Amos Makalla inakwenda Kulitetemesha Taifa kwa kuzungumza mambo mazito kwelikweli yatakayo isimamisha nchi na shughuli zote kusimama kwa muda.

Kesho kama ulikuwa hata unapanga kutoa tangazo la kibiashara ni bora ukasubiri wiki hii ipite kwanza. Kwa kuwa habari ya Mjini itakuwa ni CCM pekee kila kona ya Nchi na kila kwenye kinywa cha Mtanzania. Kaa kwa kutulia msubiri kukuche ili mpate kusikia kile chama cha Mapinduzi kinakwenda kuzungumza.View attachment 3435349

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hapa ni k...u...ndu lako tu litasimama
 
Another imbecile and retarded individual who doesn't know what is advocating for. Huyu Chawa ana shida kichwani.....Makalla atetemeshe nchi? Labda akutetemeshe wewe fala. Hana akili huyu Makalio wako aliyesema CHADEMA wanasambaza MPOX, yaani hata akili basic hana, anajua MPOX inaambukizwaje? Hivi ninyi akili zenu mmezipeleka wapi? Kuna yule mkuu wa Mkoa wa Dar, anaitwa Chalamila naye hajui anachofanya, anakaza mishipa yake na kutanua domo lake kubwa. Huyo akiwa Bukoba aliachia watu wafe kwenye Precision air, yaani mtu mzima anayejitapa amesoma,......hajui uokozi ni jambo la haraka, badala yake yupo yupo kupiga domo, halafu huyo mteuzi wake kampeleka huko Dar. HAWA VIONGOZI WANATOKA WAPI?
 
Mimi nitamsikiliza Ndugu Polepole maana na yeye atasema na Taifa mambo mazito....😄😄... Muda mmoja
 
Huyu hana jipya la kutikisa njee mkuu. Acha mbwembwe kwnye hamna😢
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kama ulikuwa umepanga siku ya kesho kusafiri au kwenda kutembelea majirani au kwenda kuzurura au kwenda matembezini . Basi ni bora ukaghairi kufanya mambo hayo yoote na kubakia ukiwa umetulia tu mbele ya Tv yako binafsi au ya jirani yako.

Kwa sababu siku ya kesho CCM kupitia CPA Amos Makalla inakwenda Kulitetemesha Taifa kwa kuzungumza mambo mazito kwelikweli yatakayo isimamisha nchi na shughuli zote kusimama kwa muda.

Kesho kama ulikuwa hata unapanga kutoa tangazo la kibiashara ni bora ukasubiri wiki hii ipite kwanza. Kwa kuwa habari ya Mjini itakuwa ni CCM pekee kila kona ya Nchi na kila kwenye kinywa cha Mtanzania. Kaa kwa kutulia msubiri kukuche ili mpate kusikia kile chama cha Mapinduzi kinakwenda kuzungumza.View attachment 3435349

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wataeleza kuhusu vimelea na virusi vya m-pox na tauni vitakavyosambaa!?
 
Wewe utakuwa umelelewa na MSIMBE
 
yetu macho na masikio
 
Hili guluguja halijawahi kuwa na la maana linaharisha kupitia kinywa chake tu.
20250720_102342.jpg
 
Ntkuwa bindamu wa mwisho hapa duniani kuamini kwamba lukasi mwashambwa halipwi chechotee na ccm
 
Hakuna mwenye ubavu wa kuzuia uchaguzi au kufanya vurugu au maandamano siku ya uchaguzi. Jaribu uone moto 🔥 wake . Utajuta kuzaliwa kwako.
Je mliowaua akina mzee kibao na wengine ndio moto 🔥 wenyewe huo...
 
Back
Top Bottom