GE2025 CCM Kupitia CPA Amos Makalla Kulitetemesha Taifa kwa kuzungumza Mambo Mazito Siku Ya Kesho. Nchi inakwenda Kusimama

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
kwahiyo ushauri wa POLEPOLE ndio unatakiwa kufanyiwa kazi kwa kumwaga oil
 
Kwa wafanya biashara ya pharmacy na maduka ya dawa kuna chimbo jipya kariakoo. Bei poa na delivery ipo nicheki 0672114557
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kama ulikuwa umepanga siku ya kesho kusafiri au kwenda kutembelea majirani au kwenda kuzurura au kwenda matembezini . Basi ni bora ukaghairi kufanya mambo hayo yoote na kubakia ukiwa umetulia tu mbele ya Tv yako binafsi au ya jirani yako.

Kwa sababu siku ya kesho CCM kupitia CPA Amos Makalla inakwenda Kulitetemesha Taifa kwa kuzungumza mambo mazito kwelikweli yatakayo isimamisha nchi na shughuli zote kusimama kwa muda.

Kesho kama ulikuwa hata unapanga kutoa tangazo la kibiashara ni bora ukasubiri wiki hii ipite kwanza. Kwa kuwa habari ya Mjini itakuwa ni CCM pekee kila kona ya Nchi na kila kwenye kinywa cha Mtanzania. Kaa kwa kutulia msubiri kukuche ili mpate kusikia kile chama cha Mapinduzi kinakwenda kuzungumza.View attachment 3435349

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe hujataka udiwani??
 
Hatujatetemeka alivyodanja jiwe tutetemeshwe na kichwa mviringo kusoma uteuzi wa mwanamtandao? Utakuwa unalainishwa kijana amka sasa dunia ishaondoka uchawani
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kama ulikuwa umepanga siku ya kesho kusafiri au kwenda kutembelea majirani au kwenda kuzurura au kwenda matembezini . Basi ni bora ukaghairi kufanya mambo hayo yoote na kubakia ukiwa umetulia tu mbele ya Tv yako binafsi au ya jirani yako.

Kwa sababu siku ya kesho CCM kupitia CPA Amos Makalla inakwenda Kulitetemesha Taifa kwa kuzungumza mambo mazito kwelikweli yatakayo isimamisha nchi na shughuli zote kusimama kwa muda.

Kesho kama ulikuwa hata unapanga kutoa tangazo la kibiashara ni bora ukasubiri wiki hii ipite kwanza. Kwa kuwa habari ya Mjini itakuwa ni CCM pekee kila kona ya Nchi na kila kwenye kinywa cha Mtanzania. Kaa kwa kutulia msubiri kukuche ili mpate kusikia kile chama cha Mapinduzi kinakwenda kuzungumza.View attachment 3435349

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
CPA anashindana na Msiba kwenye Trending? Kwa nini asisubiri Ayubu wa Nazareth ya Gungu azikwe? Au anataka kuwajibu wananchi wa Kongwa walioshangilia kuondoka kwake?
Kifo cha Ayubu kitukumbushe kuishi maisha ya ushuhuda.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kama ulikuwa umepanga siku ya kesho kusafiri au kwenda kutembelea majirani au kwenda kuzurura au kwenda matembezini . Basi ni bora ukaghairi kufanya mambo hayo yoote na kubakia ukiwa umetulia tu mbele ya Tv yako binafsi au ya jirani yako.

Kwa sababu siku ya kesho CCM kupitia CPA Amos Makalla inakwenda Kulitetemesha Taifa kwa kuzungumza mambo mazito kwelikweli yatakayo isimamisha nchi na shughuli zote kusimama kwa muda.

Kesho kama ulikuwa hata unapanga kutoa tangazo la kibiashara ni bora ukasubiri wiki hii ipite kwanza. Kwa kuwa habari ya Mjini itakuwa ni CCM pekee kila kona ya Nchi na kila kwenye kinywa cha Mtanzania. Kaa kwa kutulia msubiri kukuche ili mpate kusikia kile chama cha Mapinduzi kinakwenda kuzungumza.View attachment 3435349

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
19d7a88a-71c1-41e2-a7d3-5a468f6c42e4.jpeg
 
Hakuna mwenye ubavu wa kuzuia uchaguzi au kufanya vurugu au maandamano siku ya uchaguzi. Jaribu uone moto 🔥 wake . Utajuta kuzaliwa kwako.
Shida yenu mnajisahau sn
Sawa ngoja tuone ht huo uchaguzi km mtafanya na kufanikiwa kukaa kwenye hivyo viti, nimekaa pale 😂😂

Yaani hivyo viti vitawatapika km hivi ....
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kama ulikuwa umepanga siku ya kesho kusafiri au kwenda kutembelea majirani au kwenda kuzurura au kwenda matembezini . Basi ni bora ukaghairi kufanya mambo hayo yoote na kubakia ukiwa umetulia tu mbele ya Tv yako binafsi au ya jirani yako.

Kwa sababu siku ya kesho CCM kupitia CPA Amos Makalla inakwenda Kulitetemesha Taifa kwa kuzungumza mambo mazito kwelikweli yatakayo isimamisha nchi na shughuli zote kusimama kwa muda.

Kesho kama ulikuwa hata unapanga kutoa tangazo la kibiashara ni bora ukasubiri wiki hii ipite kwanza. Kwa kuwa habari ya Mjini itakuwa ni CCM pekee kila kona ya Nchi na kila kwenye kinywa cha Mtanzania. Kaa kwa kutulia msubiri kukuche ili mpate kusikia kile chama cha Mapinduzi kinakwenda kuzungumza.View attachment 3435349

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Waandishi wanao ulizaa kwanini beki kafunga goli hili badala ya mshambuliaji kwenye mashindano ya CHAN, maswali aina hiyo hayawezi kusimamisha nchi

Mnanikumbusha pia hoja mfu ya kuhusu virus vya impox na ebola
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kama ulikuwa umepanga siku ya kesho kusafiri au kwenda kutembelea majirani au kwenda kuzurura au kwenda matembezini . Basi ni bora ukaghairi kufanya mambo hayo yoote na kubakia ukiwa umetulia tu mbele ya Tv yako binafsi au ya jirani yako.

Kwa sababu siku ya kesho CCM kupitia CPA Amos Makalla inakwenda Kulitetemesha Taifa kwa kuzungumza mambo mazito kwelikweli yatakayo isimamisha nchi na shughuli zote kusimama kwa muda.

Kesho kama ulikuwa hata unapanga kutoa tangazo la kibiashara ni bora ukasubiri wiki hii ipite kwanza. Kwa kuwa habari ya Mjini itakuwa ni CCM pekee kila kona ya Nchi na kila kwenye kinywa cha Mtanzania. Kaa kwa kutulia msubiri kukuche ili mpate kusikia kile chama cha Mapinduzi kinakwenda kuzungumza.View attachment 3435349

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Makala ni nani hata aweze kutetemesha nchi? Ungesema Rais Samia tungetega sikio!
 
Back
Top Bottom