GE2025 CCM Kupitia CPA Amos Makalla Kulitetemesha Taifa kwa kuzungumza Mambo Mazito Siku Ya Kesho. Nchi inakwenda Kusimama

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ndugu zangu Watanzania,

Kama ulikuwa umepanga siku ya kesho kusafiri au kwenda kutembelea majirani au kwenda kuzurura au kwenda matembezini . Basi ni bora ukaghairi kufanya mambo hayo yoote na kubakia ukiwa umetulia tu mbele ya Tv yako binafsi au ya jirani yako.

Kwa sababu siku ya kesho CCM kupitia CPA Amos Makalla inakwenda Kulitetemesha Taifa kwa kuzungumza mambo mazito kwelikweli yatakayo isimamisha nchi na shughuli zote kusimama kwa muda.

Kesho kama ulikuwa hata unapanga kutoa tangazo la kibiashara ni bora ukasubiri wiki hii ipite kwanza. Kwa kuwa habari ya Mjini itakuwa ni CCM pekee kila kona ya Nchi na kila kwenye kinywa cha Mtanzania. Kaa kwa kutulia msubiri kukuche ili mpate kusikia kile chama cha Mapinduzi kinakwenda kuzungumza.View attachment 3435349

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mzee wa pumba naona umerudi. Makala hawezi kusimamisha hata kijiji.
 
Makalla huyu ex mbunge, ex RC Dar huyu aliyeshindwa usafi na machinga wa Dar ni huyu aliyeleta mtafaruku mkubwa Kariakoo
Sorry 😔 he lacks the intelligence
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kama ulikuwa umepanga siku ya kesho kusafiri au kwenda kutembelea majirani au kwenda kuzurura au kwenda matembezini . Basi ni bora ukaghairi kufanya mambo hayo yoote na kubakia ukiwa umetulia tu mbele ya Tv yako binafsi au ya jirani yako.

Kwa sababu siku ya kesho CCM kupitia CPA Amos Makalla inakwenda Kulitetemesha Taifa kwa kuzungumza mambo mazito kwelikweli yatakayo isimamisha nchi na shughuli zote kusimama kwa muda.

Kesho kama ulikuwa hata unapanga kutoa tangazo la kibiashara ni bora ukasubiri wiki hii ipite kwanza. Kwa kuwa habari ya Mjini itakuwa ni CCM pekee kila kona ya Nchi na kila kwenye kinywa cha Mtanzania. Kaa kwa kutulia msubiri kukuche ili mpate kusikia kile chama cha Mapinduzi kinakwenda kuzungumza.View attachment 3435349

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Polepole afutiwe uwanachama
 
Hili tangazo ungewatumia UVCCM wenzako, sisi tunasubiria episode ya wahuni kutoka kwa Polepole "ccm civil war" mashetani wanavyonyonyana damu.
 
hakuna mtu mwenye akili timamu anatikiswa na habari za CCM...labda misukule yao
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kama ulikuwa umepanga siku ya kesho kusafiri au kwenda kutembelea majirani au kwenda kuzurura au kwenda matembezini . Basi ni bora ukaghairi kufanya mambo hayo yoote na kubakia ukiwa umetulia tu mbele ya Tv yako binafsi au ya jirani yako.

Kwa sababu siku ya kesho CCM kupitia CPA Amos Makalla inakwenda Kulitetemesha Taifa kwa kuzungumza mambo mazito kwelikweli yatakayo isimamisha nchi na shughuli zote kusimama kwa muda.

Kesho kama ulikuwa hata unapanga kutoa tangazo la kibiashara ni bora ukasubiri wiki hii ipite kwanza. Kwa kuwa habari ya Mjini itakuwa ni CCM pekee kila kona ya Nchi na kila kwenye kinywa cha Mtanzania. Kaa kwa kutulia msubiri kukuche ili mpate kusikia kile chama cha Mapinduzi kinakwenda kuzungumza.View attachment 3435349

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Acha utoto
 
Vitisho tuuuuu. Uchawa tuuuu, uongo tuuu, unafiki tuuuuu. Watu wanauawa mnacheka tuuuuu tena mnafurahia. Watu wanatoa ushauri kwa maslahi mapana ya nchi yetu. Nyie ni kubeza na kukejeli tuuu! Siasa Ina mwisho. Uchawa una mwisho. Tumuogope Mungu, ipo siku tutaulizwa. Na huyo anayekulipa buku buku hatakuwepo
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kama ulikuwa umepanga siku ya kesho kusafiri au kwenda kutembelea majirani au kwenda kuzurura au kwenda matembezini . Basi ni bora ukaghairi kufanya mambo hayo yoote na kubakia ukiwa umetulia tu mbele ya Tv yako binafsi au ya jirani yako.

Kwa sababu siku ya kesho CCM kupitia CPA Amos Makalla inakwenda Kulitetemesha Taifa kwa kuzungumza mambo mazito kwelikweli yatakayo isimamisha nchi na shughuli zote kusimama kwa muda.

Kesho kama ulikuwa hata unapanga kutoa tangazo la kibiashara ni bora ukasubiri wiki hii ipite kwanza. Kwa kuwa habari ya Mjini itakuwa ni CCM pekee kila kona ya Nchi na kila kwenye kinywa cha Mtanzania. Kaa kwa kutulia msubiri kukuche ili mpate kusikia kile chama cha Mapinduzi kinakwenda kuzungumza.View attachment 3435349

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Tunachojua sisi hakuna pesa kutokana na madeni umiza na hili linafanyika kuzuia upinzani wasiwakirishe wananchi ili kila kitu iwe Siri,ccm ni saccos ya kukopa na sasa madeni yamezidi uwezo ndo hapo wanaona ibaki ccm kuepuka maswali makali bungeni,Majariwa anajua deni ni zaidi ya 157 trillion,so Wacha PPP ifeli muone pesa ya barabara mtatoa wapi.

Rais wa kisiwani kizmkaz hana hili wala lile anachojua ni kukopa ili raia waite maji mma tutakomaa Wanachezea fursa za bara ili tuishi kama fisi,mtajua wenyewe,hizi mambo ni shida Mnaficha nini kuwa deni ni kubwa na hamliwezi,kwann scheme ya Samia construction imefeli,ni pesa hakuna sababu sera mbovu za kukopa kwa mtindo wenu wa low innovation,miradi yote ya nje imekufa.

Utalii na madini ndo yanalipa bills sasa kwanini mmeingia Tena anga za Rostam Aziz kwenye uranium wakati ilitakiwa serikali iweke huko.pesa hata za pssf ili wapunguze deni la taifa mpaka lifike sawa na operating budget.

Tayari bujeti haziendani na population density biashara kitaa.haziemdi.sababau ya raw of Supply and demand,more sellers less.buyers sabbu bill hazilipiki.

,Zambia and Zimbabwe waliwahi pitia tanuru mnaloliwasha moto,mtajiramba wenyewe na sera mbovu.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kama ulikuwa umepanga siku ya kesho kusafiri au kwenda kutembelea majirani au kwenda kuzurura au kwenda matembezini . Basi ni bora ukaghairi kufanya mambo hayo yoote na kubakia ukiwa umetulia tu mbele ya Tv yako binafsi au ya jirani yako.

Kwa sababu siku ya kesho CCM kupitia CPA Amos Makalla inakwenda Kulitetemesha Taifa kwa kuzungumza mambo mazito kwelikweli yatakayo isimamisha nchi na shughuli zote kusimama kwa muda.

Kesho kama ulikuwa hata unapanga kutoa tangazo la kibiashara ni bora ukasubiri wiki hii ipite kwanza. Kwa kuwa habari ya Mjini itakuwa ni CCM pekee kila kona ya Nchi na kila kwenye kinywa cha Mtanzania. Kaa kwa kutulia msubiri kukuche ili mpate kusikia kile chama cha Mapinduzi kinakwenda kuzungumza.View attachment 3435349

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mr. Ebola na MPOX naye alitetemeshe taifa? Aeleze kwanza MPOX NA EBOLA Vimeshanunuliwa na CHADEMA?
 
Back
Top Bottom