Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Ukiona mtu anaona kuwa kupewa baiskeli ni ukombozi wa maisha yake magumu, ujue jamii aliyomo ni maskini sana.
Kuna wakati ada ya shilingi 20,000 na 70,000 kwenye shule za kutwa na bweni za Serikali ilipoondolewa na nchi nzima kulipuka kwa furaha, nilishangaa Sana.
Leo hii tena CCM nchi nzima wanabubujikwa maneno ya shukrani kwa chama chao kisa wamegawiwa baiskeli🙄
CCM wamekuwa wazee wa nginjo!