PreGE2025 CCM kushangilia kupewa baiskeli ni dalili kuwa watanzania tumetopea kwenye umaskini!

PreGE2025 CCM kushangilia kupewa baiskeli ni dalili kuwa watanzania tumetopea kwenye umaskini!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ukiona mtu anaona kuwa kupewa baiskeli ni ukombozi wa maisha yake magumu, ujue jamii aliyomo ni maskini sana.

Kuna wakati ada ya shilingi 20,000 na 70,000 kwenye shule za kutwa na bweni za Serikali ilipoondolewa na nchi nzima kulipuka kwa furaha, nilishangaa Sana.

Leo hii tena CCM nchi nzima wanabubujikwa maneno ya shukrani kwa chama chao kisa wamegawiwa baiskeli🙄

CCM wamekuwa wazee wa nginjo!
Mbona wana aina zote za usafiri kulingana na level, baiskeli, pikipiki, na magari. We unataka mwakilishi wa mtaa anaye manage kaya 10-15 apewe pikipiki au gari???
 
Ukiona mtu anaona kuwa kupewa baiskeli ni ukombozi wa maisha yake magumu, ujue jamii aliyomo ni maskini sana.

Kuna wakati ada ya shilingi 20,000 na 70,000 kwenye shule za kutwa na bweni za Serikali ilipoondolewa na nchi nzima kulipuka kwa furaha, nilishangaa Sana.

Leo hii tena CCM nchi nzima wanabubujikwa maneno ya shukrani kwa chama chao kisa wamegawiwa baiskeli🙄

CCM wamekuwa wazee wa nginjo!
Mtaji wa CCM ni umaskini wa akili walioupandikiza kwa wananchi na kuubatiza jina la uzalendo.
 
Jibu swali
Sasa nusuhela katumia mfano wako kuuliza swali. Kama Waziri Mkuu wa nchi hizo za Scandinavia anapanda baiskeli kwenda kazini, jee wa kwetu naye anatumia baiskeli?

Kwa ivo nusuhela anaona kama unafananisha hadhi ya uwaziri Mkuu na wapewa baiskeli, basi hao wapewa baiskeli wa CCM wapewe na wao usafiri kama anaotumia Waziri Mkuu wa hapa!
 
Screenshot_2025-05-27-14-00-41-1-1-1.png
 
Ikitokea tena jaji afikishwe mbele ya sheria ,hakuna alie juu sheria , sikuwahi sikia jaji au hakimu akipandishwa kizimbani , wanasheri tafadhali nipe mwongozo , nipo tiyari gharimikia kesi hii kama vipo vifungu vinaruhusu kwa hili na mjibu sheria zenu.
 
Sidhani kama sababu ni umasikini ni UJUHA kabisa.

Kuna yule jamaa aligomea tshirt za sisiemu, ile inaonesha jamaa ni masikini ila ana akili.

Shida kubwa sisi watanzania ni ukosefu wa akili.
 
Back
Top Bottom