Utafikiri tupo 17th centuryUkiona mtu anaona kuwa kupewa baiskeli ni ukombozi wa maisha yake magumu, ujue jamii aliyomo ni maskini sana.
Kuna wakati ada ya shilingi 20,000 na 70,000 kwenye shule za kutwa na bweni za Serikali ilipoondolewa na nchi nzima kulipuka kwa furaha, nilishangaa Sana.
Leo hii tena CCM nchi nzima wanabubujikwa maneno ya shukrani kwa chama chao kisa wamegawiwa baiskeli🙄
CCM wamekuwa wazee wa nginjo!
Nalo neno. TumekusikiaUkiona mtu anaona kuwa kupewa baiskeli ni ukombozi wa maisha yake magumu, ujue jamii aliyomo ni maskini sana.
Kuna wakati ada ya shilingi 20,000 na 70,000 kwenye shule za kutwa na bweni za Serikali ilipoondolewa na nchi nzima kulipuka kwa furaha, nilishangaa Sana.
Leo hii tena CCM nchi nzima wanabubujikwa maneno ya shukrani kwa chama chao kisa wamegawiwa baiskeli🙄
CCM wamekuwa wazee wa nginjo!
Mnahonga baiskeli, t-shirts
kila chama kingependa ku-invest on walking advertisement, lakini hawana funding ya kutoshaBy printing designs on t-shirts, businesses can create walking advertisements that reach a wide audience, fostering brand recognition and potentially driving sales
By printing designs on t-shirts, businesses, bicycles, buildings etc, can create walking advertisements that reach a wide audience, fostering brand recognition and potentially recruiting more members. This approach combines the appeal of wearable fashion with the effectiveness of traditional advertising.Mnahonga baiskeli, t-shirts
Udhaifu wa CCMna mtaji wa CDM ni gani??
Umaskini ni nuksi,na huu umaskini walio nao wabongo, wamewekwa, na ccm, ccm ndio inawatumbukiza wananchi kwenye umaskini, Hari ya watz wengi ni sawa na mtu aliyetekwa, na kufungiwa ndani, Hana chakula wala maji,mtekaji akitokea akakupa kikombe cha maji, unamuona kama Mungu mdogo, wakati ni yeye aliyekuteka!Ukiona mtu anaona kuwa kupewa baiskeli ni ukombozi wa maisha yake magumu, ujue jamii aliyomo ni maskini sana.
Kuna wakati ada ya shilingi 20,000 na 70,000 kwenye shule za kutwa na bweni za Serikali ilipoondolewa na nchi nzima kulipuka kwa furaha, nilishangaa Sana.
Leo hii tena CCM nchi nzima wanabubujikwa maneno ya shukrani kwa chama chao kisa wamegawiwa baiskeli🙄
CCM wamekuwa wazee wa nginjo!
Asante!!!Umaskini ni nuksi,na huu umaskini walio nao wabongo, wamewekwa, na ccm, ccm ndio inawatumbukiza wananchi kwenye umaskini, Hari ya watz wengi ni sawa na mtu aliyetekwa, na kufungiwa ndani, Hana chakula wala maji,mtekaji akitokea akakupa kikombe cha maji, unamuona kama Mungu mdogo, wakati ni yeye aliyekuteka!
Stockholm Syndrome!
Ma ccm ni zaidi ya shetani ibilisi
Acha kuleta viingereza hapa. Kila kitu kinafanyika china hayo mambo uliyoyaelezea wachina ndiyo wanaofaidika nayo!kila chama kingependa ku-invest on walking advertisement, lakini hawana funding ya kutosha
By printing designs on t-shirts, businesses, bicycles, buildings etc, can create walking advertisements that reach a wide audience, fostering brand recognition and potentially recruiting more members. This approach combines the appeal of wearable fashion with the effectiveness of traditional advertising.
Vipi wale wanaopewa t shirts huko Mbeya zenye picha ya Mdude wao wamekasirika?Ukiona mtu anaona kuwa kupewa baiskeli ni ukombozi wa maisha yake magumu, ujue jamii aliyomo ni maskini sana.
Kuna wakati ada ya shilingi 20,000 na 70,000 kwenye shule za kutwa na bweni za Serikali ilipoondolewa na nchi nzima kulipuka kwa furaha, nilishangaa Sana.
Leo hii tena CCM nchi nzima wanabubujikwa maneno ya shukrani kwa chama chao kisa wamegawiwa baiskeli🙄
CCM wamekuwa wazee wa nginjo!
Wanapewa na nani?Vipi wale wanaopewa t shirts huko Mbeya zenye picha ya Mdude wao wamekasirika?
Na ngedere!Wanapewa na nani?
Udhaifu wa CCM
Chadema wanaovaa tisheti pia walihongwa? Ngazi ya mabalozi wanapewa vitendea kaziMnahonga baiskeli, t-shirts
SIJAKULAZIMISHA USOME, KAMA UNA ALLERGY/MZIO NA NGELI, WE PITA ENDELEA NA MENGINE, USIJIPE SONONA KWA MAMBO USIYOYAWEZA, "ULIMPUVA NECHO"Acha kuleta viingereza hapa. Kila kitu kinafanyika china hayo mambo uliyoyaelezea wachina ndiyo wanaofaidika nayo!
CHADEMA tisheti zunauzwa hazigawiwi Bure. Ukiona mwanachadema kavaa fulana imeandikwa NO REFORMS NO ELECTION jua kanunua siyo kapewa!Chadema wanaovaa tisheti pia walihongwa? Ngazi ya mabalozi wanapewa vitendea kazi
Bandiko la Kiswahili hizo ngeli zako unazileta za nini?SIJAKULAZIMISHA USOME, KAMA UNA ALLERGY/MZIO NA NGELI, WE PITA ENDELEA NA MENGINE, USIJIPE SONONA KWA MAMBO USIYOYAWEZA,
Na CCM wananunuaCHADEMA tisheti zunauzwa hazigawiwi Bure. Ukiona mwanachadema kavaa fulana imeandikwa NO REFORMS NO ELECTION jua kanunua siyo kapewa!
Ndio huwa wanawaita WANYONGE..Ukiona mtu anaona kuwa kupewa baiskeli ni ukombozi wa maisha yake magumu, ujue jamii aliyomo ni maskini sana.