DR VRM
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 3,933
- 3,071
Pascal Mayalla ndugu wewe hukupata gawio hili la baiskeli?Ukiona mtu anaona kuwa kupewa baiskeli ni ukombozi wa maisha yake magumu, ujue jamii aliyomo ni maskini sana.
Kuna wakati ada ya shilingi 20,000 na 70,000 kwenye shule za kutwa na bweni za Serikali ilipoondolewa na nchi nzima kulipuka kwa furaha, nilishangaa Sana.
Leo hii tena CCM nchi nzima wanabubujikwa maneno ya shukrani kwa chama chao kisa wamegawiwa baiskeli🙄
CCM wamekuwa wazee wa nginjo!
kwa hiyo una hati miliki (copyright) ya hilo bandiko?? basi ukae nalo usilibandike, otherwise usijiumize na lugha zitakazo tumika,Napitaje kwenye bandiko nililoanzisha mwenye?
kwa hiyo una hati miliki (copyright) ya hilo bandiko?? basi ukae nalo usilibandike, otherwise usijiumize na lugha zitakazo tumika,dont control the narrative,samahani nimejisahau tena kuchanganya lugha😀
Mind setting ya wengi watanzania ni za kimaskini sana ndiyo maana ukimpa mtu kofia ama baiskeli ni kitu kikubwa sana kwakwe.. Wakati huo ninaanza kazi, ungenipa baiskeli ningeona kama nimeukata. hiyo ndiyo hali halisi ya kwetu ndugu zangu. Tunahitaji elimu ya kutubadilisha fikra zetu. Nilikuja kufanikiwa tu nilipojiambia mimi siyo maskini na ndiyo maisha yangu yakabadilika.Ukiona mtu anaona kuwa kupewa baiskeli ni ukombozi wa maisha yake magumu, ujue jamii aliyomo ni maskini sana.
Kuna wakati ada ya shilingi 20,000 na 70,000 kwenye shule za kutwa na bweni za Serikali ilipoondolewa na nchi nzima kulipuka kwa furaha, nilishangaa Sana.
Leo hii tena CCM nchi nzima wanabubujikwa maneno ya shukrani kwa chama chao kisa wamegawiwa baiskeli🙄
CCM wamekuwa wazee wa nginjo!
kama we ndyo umechanganyikiwa achana na mchango wangu, wana JF, tuko diverse sija-specify kwako wewe, ndyo maana nasema, ukiona utopolo we pita, usipambane.Kiingereza kwenye bandiko la kiswahili ni kuchanganya mambo.
Bado hukuwa na sababu ya kutumia kiingereza. Ni mikogo isiyo na sababu Wala faida.kama we ndyo umechanganyikiwa achana na mchango wangu, wana JF, tuko diverse sija-specify kwako wewe, ndyo maana nasema, ukiona utopolo we pita, usipambane.
Mikogo inakukura nini, u don't like it, just neglect and remain mentally soundBado hukuwa na sababu ya kutumia kiingereza. Ni mikogo isiyo na sababu Wala faida.
Unapigana mawazo yako yaheshimiwe lakini hutaki kuheshimu ya kwangu. Hakuna mapambano hapa.
Hizi fikra za ki - CCM kujiona kila wakati wapo sawa ndizo zinazoviza maendeleo ya hii nchi.
us-generalize, jisemee weweElimu ni mkombozi wa mwanandamu. katika hali yeu hata ukipewa elfu kumi tu sasa mtu akupe basikeli hayo ni makubwa lazima umchague tu maana baiskali ni mtaji mkubwa kwa maskini.