Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Ccm wanataka watanzania wawe masikini ili wawatawale vizuriUkiona mtu anaona kuwa kupewa baiskeli ni ukombozi wa maisha yake magumu, ujue jamii aliyomo ni maskini sana.
Kuna wakati ada ya shilingi 20,000 na 70,000 kwenye shule za kutwa na bweni za Serikali ilipoondolewa na nchi nzima kulipuka kwa furaha, nilishangaa Sana.
Leo hii tena CCM nchi nzima wanabubujikwa maneno ya shukrani kwa chama chao kisa wamegawiwa baiskeli🙄
CCM wamekuwa wazee wa nginjo!
Ukiona mtu anaona kuwa kupewa baiskeli ni ukombozi wa maisha yake magumu, ujue jamii aliyomo ni maskini sana.
Kuna wakati ada ya shilingi 20,000 na 70,000 kwenye shule za kutwa na bweni za Serikali ilipoondolewa na nchi nzima kulipuka kwa furaha, nilishangaa Sana.
Leo hii tena CCM nchi nzima wanabubujikwa maneno ya shukrani kwa chama chao kisa wamegawiwa baiskeli🙄
CCM wamekuwa wazee wa nginjo!
Umaskini wa hali ya juu sanaUkiona mtu anaona kuwa kupewa baiskeli ni ukombozi wa maisha yake magumu, ujue jamii aliyomo ni maskini sana.
Kuna wakati ada ya shilingi 20,000 na 70,000 kwenye shule za kutwa na bweni za Serikali ilipoondolewa na nchi nzima kulipuka kwa furaha, nilishangaa Sana.
Leo hii tena CCM nchi nzima wanabubujikwa maneno ya shukrani kwa chama chao kisa wamegawiwa baiskeli🙄
CCM wamekuwa wazee wa nginjo!
Kampeni kabla ya muda?
Laana kubwa sanaaa
CCM wabaya Sana, wanawafanya watu maskini halafu wanawagawia biskeli hao hao waliowagawia baiskeli wanakuja kusema CCM inakubalika. Kwa ujumla CCM hayafai kabisa yanawaza matumbo Yao tu. Utayasikia amani ya nchi hii sijuwi na nini vingine, mbwa nyie Ma CCM.Ukiona mtu anaona kuwa kupewa baiskeli ni ukombozi wa maisha yake magumu, ujue jamii aliyomo ni maskini sana.
Kuna wakati ada ya shilingi 20,000 na 70,000 kwenye shule za kutwa na bweni za Serikali ilipoondolewa na nchi nzima kulipuka kwa furaha, nilishangaa Sana.
Leo hii tena CCM nchi nzima wanabubujikwa maneno ya shukrani kwa chama chao kisa wamegawiwa baiskeli🙄
CCM wamekuwa wazee wa nginjo!
Kwanini wasiwape anachoendesha waziri mkuu wa hapa?Ukienda nchi za scandnavia ukamuona Waziri Mkuu anaendesha baskeli utasemaje?
Umasikini na ujinga ni mwingi sana Tanzania na ndo mtaji wa sisiemu miaka yoteUkiona mtu anaona kuwa kupewa baiskeli ni ukombozi wa maisha yake magumu, ujue jamii aliyomo ni maskini sana.
Kuna wakati ada ya shilingi 20,000 na 70,000 kwenye shule za kutwa na bweni za Serikali ilipoondolewa na nchi nzima kulipuka kwa furaha, nilishangaa Sana.
Leo hii tena CCM nchi nzima wanabubujikwa maneno ya shukrani kwa chama chao kisa wamegawiwa baiskeli🙄
CCM wamekuwa wazee wa nginjo!
Acha washangilie Kwa sababu hawakuwa nazo.Ukiona mtu anaona kuwa kupewa baiskeli ni ukombozi wa maisha yake magumu, ujue jamii aliyomo ni maskini sana.