PreGE2025 CCM kushangilia kupewa baiskeli ni dalili kuwa watanzania tumetopea kwenye umaskini!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Utafikiri tupo 17th century
 
Nalo neno. Tumekusikia
 
Mnahonga baiskeli, t-shirts

By printing designs on t-shirts, businesses can create walking advertisements that reach a wide audience, fostering brand recognition and potentially driving sales
kila chama kingependa ku-invest on walking advertisement, lakini hawana funding ya kutosha
Mnahonga baiskeli, t-shirts
By printing designs on t-shirts, businesses, bicycles, buildings etc, can create walking advertisements that reach a wide audience, fostering brand recognition and potentially recruiting more members. This approach combines the appeal of wearable fashion with the effectiveness of traditional advertising.
 
Umaskini ni nuksi,na huu umaskini walio nao wabongo, wamewekwa, na ccm, ccm ndio inawatumbukiza wananchi kwenye umaskini, Hari ya watz wengi ni sawa na mtu aliyetekwa, na kufungiwa ndani, Hana chakula wala maji,mtekaji akitokea akakupa kikombe cha maji, unamuona kama Mungu mdogo, wakati ni yeye aliyekuteka!
Stockholm Syndrome!
Ma ccm ni zaidi ya shetani ibilisi
 
Asante!!!
 
Acha kuleta viingereza hapa. Kila kitu kinafanyika china hayo mambo uliyoyaelezea wachina ndiyo wanaofaidika nayo!
 
Vipi wale wanaopewa t shirts huko Mbeya zenye picha ya Mdude wao wamekasirika?
 
Udhaifu wa CCM

World’s top 15 largest political parties, Africa has one.​

  • Tanzania has been ranked number 11 in the latest list of countries with the largest political party by members. The Global Index’s 2023 report says Tanzania holds the position through its ruling party, Chama cha Mapinduzi (CCM) reportedly has a total of 8.4 million active members.
  • CCM is also the second longest-ruling party in Africa, with the merger of the Tanganyika African National Union (TANU) and the Afro-Shirazi Party (ASP)
CONCL: Resisting what is happening often leads to unnecessary suffering. Accepting reality, even if it's painful, can help prevent that pain from escalating into prolonged suffering.
 
Acha kuleta viingereza hapa. Kila kitu kinafanyika china hayo mambo uliyoyaelezea wachina ndiyo wanaofaidika nayo!
SIJAKULAZIMISHA USOME, KAMA UNA ALLERGY/MZIO NA NGELI, WE PITA ENDELEA NA MENGINE, USIJIPE SONONA KWA MAMBO USIYOYAWEZA, "ULIMPUVA NECHO"
 
Chadema wanaovaa tisheti pia walihongwa? Ngazi ya mabalozi wanapewa vitendea kazi
CHADEMA tisheti zunauzwa hazigawiwi Bure. Ukiona mwanachadema kavaa fulana imeandikwa NO REFORMS NO ELECTION jua kanunua siyo kapewa!
 
SIJAKULAZIMISHA USOME, KAMA UNA ALLERGY/MZIO NA NGELI, WE PITA ENDELEA NA MENGINE, USIJIPE SONONA KWA MAMBO USIYOYAWEZA,
Bandiko la Kiswahili hizo ngeli zako unazileta za nini?
 
Ndio huwa wanawaita WANYONGE..
maana yake maskini, wasiojielewa, wenye elimu duni na maamuma kiasili.
 
Watanganyika wengi wanachukulia ishu ya SIASA kama ushabiki wa VYAMA... zile kauli za wanasiasa kuwa "TUKAPIGE KURA TUENDELEE KUTAWALA" inawaingia na wao wanajiona ni moja kati ya hao, wanavalishwa na kulishwa kisaikoljia imani ya kishabiki ambayo inawatoa kwenye kufikiri wanakuwa watu wa kushabikia ...
Hata iweje huwezi kumwelewesha kuwa baiskeli anayopewa leo ndo umaskini wa kitukuu chake kitakachozaliwa miaka 50 ijayo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…