PreGE2025 CCM kushangilia kupewa baiskeli ni dalili kuwa watanzania tumetopea kwenye umaskini!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Pascal Mayalla ndugu wewe hukupata gawio hili la baiskeli?

Jambo zuri lakini tulitarajia vigawiwe ambulance sawa na zilivyogawiwa baiskel
 
HUPENDI/HUZIWEZI ELEWA HIYO LUGHA WE PITA, USILETE SHERIA ZAKO, UNAJILETEA SONONA BILA SABABU, ULIMPUVA NECHO
"You gain no WISDOM by imposing your way on others "
Napitaje kwenye bandiko nililoanzisha mwenye?
 
Napitaje kwenye bandiko nililoanzisha mwenye?
kwa hiyo una hati miliki (copyright) ya hilo bandiko?? basi ukae nalo usilibandike, otherwise usijiumize na lugha zitakazo tumika, dont control the narrative, samahani nimejisahau tena kuchanganya lugha😀
 
Kiingereza kwenye bandiko la kiswahili ni kuchanganya mambo.
 
Mind setting ya wengi watanzania ni za kimaskini sana ndiyo maana ukimpa mtu kofia ama baiskeli ni kitu kikubwa sana kwakwe.. Wakati huo ninaanza kazi, ungenipa baiskeli ningeona kama nimeukata. hiyo ndiyo hali halisi ya kwetu ndugu zangu. Tunahitaji elimu ya kutubadilisha fikra zetu. Nilikuja kufanikiwa tu nilipojiambia mimi siyo maskini na ndiyo maisha yangu yakabadilika.
 
kama we ndyo umechanganyikiwa achana na mchango wangu, wana JF, tuko diverse sija-specify kwako wewe, ndyo maana nasema, ukiona utopolo we pita, usipambane.
Bado hukuwa na sababu ya kutumia kiingereza. Ni mikogo isiyo na sababu Wala faida.

Unapigana mawazo yako yaheshimiwe lakini hutaki kuheshimu ya kwangu. Hakuna mapambano hapa.

Hizi fikra za ki - CCM kujiona kila wakati wapo sawa ndizo zinazoviza maendeleo ya hii nchi.
 
Mikogo inakukura nini, u don't like it, just neglect and remain mentally sound
 
Elimu ni mkombozi wa mwanandamu. katika hali yeu hata ukipewa elfu kumi tu sasa mtu akupe basikeli hayo ni makubwa lazima umchague tu maana baiskali ni mtaji mkubwa kwa maskini.
 
Elimu ni mkombozi wa mwanandamu. katika hali yeu hata ukipewa elfu kumi tu sasa mtu akupe basikeli hayo ni makubwa lazima umchague tu maana baiskali ni mtaji mkubwa kwa maskini.
us-generalize, jisemee wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…