CCM kuwalegezea CHADEMA ili ionekane tuna misingi ya Demokrasia ni kukengeuka

CCM kuwalegezea CHADEMA ili ionekane tuna misingi ya Demokrasia ni kukengeuka

Chadema haifai inaliombea mabaya taifa letu kila mara sio watu wa kuwakumbatia kabisa.
pole sana. wangeshafutiwa usajili kama wangekuwa threat kwa hii nchi. why wapo mpaka sasa hiv? kwamba mamlaka za nchi ji wajinga sana kuwaacha waendelee?

sorry hii nchi ina maadui wakubwa sana. ambao mpaka sasa hatujawadhibiti kikamilifu.
Mwalim J.k Nyerere alishawataja.

+bado kuna mambo ya muhim ya kufanya kuliko kupambana na chadema.
 
Walegeza nini??

Kwani Tanzania ilipewa hatimiliki kuwa CCM ndio wenye Tanzania?

Mbona Nchi ilikuepo tangu enzi za machief bila ya CCM kuwepo?

Kwani Chief Mkwawa alikua CCM?

Mtemi Mirambo alikua CCM??

Ni zama ambazo tutazidi kuyasikia dikteta aliyoyataka yasisikike..tutayasikia sasa kwahiyo tulieni mumjue mtu wenu alikuwaje maana tuliposema alikua tatizo mlituita vibaraka, wasaliti n.k
 
Mleta hoja amezuiliwa kufanya matambiko chattle.
 
Ahaaaa. Nafikiri hujaelewa mantiki ya hoja yangu. Kama taifa hatutakiwi kukumbatia wanasiasa wajaza matumbo.
Mkuu upo poa, maana kuwakumbatia hawa Wabunge wa kujua kusoma na kuandika na kudai ujira kwa $ kwa ajira ya kujipendekeza kwa wananchi ni hatari kwa maendeleo ya NCHI.
 
PUSH GANG... Hakuna rangi mtaacha ona Awamu hii..!!
push gang tunakula maisha,maana bado ccm yetu iko jikoni.

na kama unadanganywa kuna push gang anaumia,anayekwambia hana nia njema na wewe.
 
Leo hii Chadema wanalegezewa na CCM ili ionekane Mama Samia ni mpenda haki na Demokrasia? Huu ni unafiki wa hali ya juu.

Hivi hapa Mnafiki ni MLEGEZAJI au MLEGEZEWA??

Kwani unafikiri kwa kutumia nini?
 
Walegeza nini??

Kwani Tanzania ilipewa hatimiliki kuwa CCM ndio wenye Tanzania?

Mbona Nchi ilikuepo tangu enzi za machief bila ya CCM kuwepo?

Kwani Chief Mkwawa alikua CCM?

Mtemi Mirambo alikua CCM??

Ni zama ambazo tutazidi kuyasikia dikteta aliyoyataka yasisikike..tutayasikia sasa kwahiyo tulieni mumjue mtu wenu alikuwaje maana tuliposema alikua tatizo mlituita vibaraka, wasaliti n.k
HUYO MLETA MADA ANAJUA CCM NDIO KATIBA YA NCHI,AKAMULIZE RAIS HUWA ANAAPA KATIBA YA CHAMA CHAKE AU KATIBA YA NCHI.
 
Back
Top Bottom