CCM kuwalegezea CHADEMA ili ionekane tuna misingi ya Demokrasia ni kukengeuka

Mkuu jikite kwenye mada. Ccm haina haja ya kuwalegezea Chadema ili ionekane inalinda demokrasia.

Hamna kitu kinaitwa ccm we boya, kuna madaraka ya urais. Nje ya madaraka ya urais, ccm ni takataka kama takataka nyingine.
 
Ndomana mkalsha sumu
Usitake kufumba macho. Kuwazia tumbo la mtu isiwe sababu ya kupiga madili nje na kipato halali. Kuchumia tumbo siasa ni kama kutafuna michango na kula ruzuku. Lakini kiongozi kama Mangula anaetegemea mshahara wake unamuweka kundi gani?
 
Narudia kusema kama kuna Chama ambacho hakifai hapa Tanzania basi ni Chadema. Kimejaa wanasiasa wanafiki na wasaka matumbo.

Leo hii Chadema wanalegezewa na CCM ili ionekane Mama Samia ni mpenda haki na Demokrasia? Huu ni unafiki wa hali ya juu.

Tumesahau harakati zao za chini ya kapeti kuhakikisha ndege zinakamatwa? Tumesahau Kovidi ilipoingia Mbowe na genge lake walivyokuwa wakipotosha kuwa maelfu ya watu wanakufa Dar es salaam hivyo total lockdown iwekwe.

Tumesahau walivyokuwa wanashirikiana na wapambe wao wasio na nia njema kushinikiza tusipate mikopo ya World bank?

Leo hii mnawashinikiza majaji ili watengue hukumu kisa tu muonekane mnapenda Demokrasia! Mnaruhusu Mbowe na genge laki kuzurura wakati mnajua hafai kabisa.

My take: CCM inaelekea pabaya sana na mwaka 2025 moto utawaka.
sasa wanafiki ndio nani, ni CCM inayowalegezea CHADEMA ilionekane inaendesha utawala wa kidemokrasia au ni CHADEMA wanolegezewa?
 
Napendekeza Ndege Mpya Zijazo Ziandikwe "Kazi Iendelee "
Madame Samia Suluhu Hassan
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Zilizopo zilizopo zifutwe ile kauli mbiu ya kuwanyima watumishi mishahara na wananchi kukosa amani na furaha!
 
Narudia kusema kama kuna Chama ambacho hakifai hapa Tanzania basi ni Chadema. Kimejaa wanasiasa wanafiki na wasaka matumbo.

Leo hii Chadema wanalegezewa na CCM ili ionekane Mama Samia ni mpenda haki na Demokrasia? Huu ni unafiki wa hali ya juu.

Tumesahau harakati zao za chini ya kapeti kuhakikisha ndege zinakamatwa? Tumesahau Kovidi ilipoingia Mbowe na genge lake walivyokuwa wakipotosha kuwa maelfu ya watu wanakufa Dar es salaam hivyo total lockdown iwekwe.

Tumesahau walivyokuwa wanashirikiana na wapambe wao wasio na nia njema kushinikiza tusipate mikopo ya World bank?

Leo hii mnawashinikiza majaji ili watengue hukumu kisa tu muonekane mnapenda Demokrasia! Mnaruhusu Mbowe na genge laki kuzurura wakati mnajua hafai kabisa.

My take: CCM inaelekea pabaya sana na mwaka 2025 moto utawaka.
Hivi unajua kuwa ccm na CDM vipo sawa mbele ya Sheria? Unajua ccm haina mamlaka ya kuvipangia vyama vingine vya kisiasa kitu Cha kufanya? Unajua kuwa kila chama Cha siasa kina Imani yake ambayo haivunji Sheria?
Hoja yako inakosa mashiko kwa sababu nyingi mno na usijustfy kuwa ati kwa ccm inaongoza dola basi Ina haki ya kuvielekeza vyama vingine Nini Cha kufanya! Rudi kwenye katiba ya JMT Soma mabadiliko ya mwaka 1992 juu ya Sheria ya uwepo wa vyama vingi nchini Kisha uje hapa uonyeshe mamlaka ya ccm juu ya vyama vingine vya siasa!
Usihofu, katiba mpya itakutibu huu wasiwasi wako ni suala la kuomba iharakishwe kuja! Kila chama Cha siasa kipo huru Kama hakivunji katiba ya nchi! Ccm wafanye yao na CDM ifanye yake bila kubughudhiana na kuvuruga amani!
 
Hujui lolote mlopokaji mkubwa. Siasa ndio kila kitu inagovern kila jambo unalofanya.
Hiyo hoja ya muda wa Rais mbona huiongelei? Hata huyu tuendeleze ile hoja yetu "Atake asitake, tutamuongezea muda"
 
Ahaaaa. Nafikiri hujaelewa mantiki ya hoja yangu. Kama taifa hatutakiwi kukumbatia wanasiasa wajaza matumbo.
Una utani na viongozi wako wa ccm? Subiri nikuitie kina Lukuvi, Ndugai na Mangula waliokaa kwenye nafasi zao kwa miaka 30!
Hivi, walioko huko ccm wanajaza Nini zaidi ya matumbo yao? Umevurugwa na teuzi zilizokutupa mkono?
 
Narudia kusema kama kuna Chama ambacho hakifai hapa Tanzania basi ni Chadema. Kimejaa wanasiasa wanafiki na wasaka matumbo.

Leo hii Chadema wanalegezewa na CCM ili ionekane Mama Samia ni mpenda haki na Demokrasia? Huu ni unafiki wa hali ya juu.

Tumesahau harakati zao za chini ya kapeti kuhakikisha ndege zinakamatwa? Tumesahau Kovidi ilipoingia Mbowe na genge lake walivyokuwa wakipotosha kuwa maelfu ya watu wanakufa Dar es salaam hivyo total lockdown iwekwe.

Tumesahau walivyokuwa wanashirikiana na wapambe wao wasio na nia njema kushinikiza tusipate mikopo ya World bank?

Leo hii mnawashinikiza majaji ili watengue hukumu kisa tu muonekane mnapenda Demokrasia! Mnaruhusu Mbowe na genge laki kuzurura wakati mnajua hafai kabisa.

My take: CCM inaelekea pabaya sana na mwaka 2025 moto utawaka.
Jina zuri ninaloweza kukuita kwa kukutendea haki ni kwamba wewe ni mbwa.
 
Ni dhahiri hauna akili timamu.
Wewe fala, kuwa katibu wa uvccm kusikutoe ufahamu! Hicho cheo umepewa tu Tena kwa hisani ilikuwa urudi mtwivila kugema ulanzi! Na ole wako urudie ule ujinga wako wa kutaja watu wenye itikadi tofauti wauawe!
 
Acha chama kimfie, atakua tais wa kwanza kufeli na historia itamkumbuka hivyo!
Kwani ccm ni mzazi wake Hadi ahuzunike kikifa? Kazi itakuwa kwenu maana mtakosa pa kujificha! Ombeni Sana asiwe na roho hiyo maana mtalia na kusaga meno!
 
Anzisha chama chako Mkuu!

Hii ndio CCM ya Jembe na Nyundo..CCM makinikia ishaondoka.. CCM ya risasi na viroba ishazikwa..

Maisha mafupi sana.
Jibu mujarabu kabisa, salute kwako.
 
Ahaaaa. Nafikiri hujaelewa mantiki ya hoja yangu. Kama taifa hatutakiwi kukumbatia wanasiasa wajaza matumbo.
Kama hao wa CCM wanaoomba kuongezewa mishara na marupurupu ya ubunge huku wakipigiana makofi lakini walimu, nurses na wengineo wakisota kwa mishara kiduchu na mazingira magumu ya kazi zao.
 
Narudia kusema kama kuna Chama ambacho hakifai hapa Tanzania basi ni Chadema. Kimejaa wanasiasa wanafiki na wasaka matumbo.

Leo hii Chadema wanalegezewa na CCM ili ionekane Mama Samia ni mpenda haki na Demokrasia? Huu ni unafiki wa hali ya juu.

Tumesahau harakati zao za chini ya kapeti kuhakikisha ndege zinakamatwa? Tumesahau Kovidi ilipoingia Mbowe na genge lake walivyokuwa wakipotosha kuwa maelfu ya watu wanakufa Dar es salaam hivyo total lockdown iwekwe.

Tumesahau walivyokuwa wanashirikiana na wapambe wao wasio na nia njema kushinikiza tusipate mikopo ya World bank?

Leo hii mnawashinikiza majaji ili watengue hukumu kisa tu muonekane mnapenda Demokrasia! Mnaruhusu Mbowe na genge laki kuzurura wakati mnajua hafai kabisa.

My take: CCM inaelekea pabaya sana na mwaka 2025 moto utawaka.
Lile takataka lilikuwa na chuki na ndio iliyomuondoa, mataga hamtaki kujifunza kitu
 
SISI TUNAJENGA NCHI WE BAKI NA CCM NA CHADEMA YAKO SIO MUDA WA VYAMA NI MUDA WA NCHI
 
Narudia kusema kama kuna Chama ambacho hakifai hapa Tanzania basi ni Chadema. Kimejaa wanasiasa wanafiki na wasaka matumbo.

Leo hii Chadema wanalegezewa na CCM ili ionekane Mama Samia ni mpenda haki na Demokrasia? Huu ni unafiki wa hali ya juu.

Tumesahau harakati zao za chini ya kapeti kuhakikisha ndege zinakamatwa? Tumesahau Kovidi ilipoingia Mbowe na genge lake walivyokuwa wakipotosha kuwa maelfu ya watu wanakufa Dar es salaam hivyo total lockdown iwekwe.

Tumesahau walivyokuwa wanashirikiana na wapambe wao wasio na nia njema kushinikiza tusipate mikopo ya World bank?

Leo hii mnawashinikiza majaji ili watengue hukumu kisa tu muonekane mnapenda Demokrasia! Mnaruhusu Mbowe na genge laki kuzurura wakati mnajua hafai kabisa.

My take: CCM inaelekea pabaya sana na mwaka 2025 moto utawaka.
Rudi shule ukasome pumbavu.
 
Back
Top Bottom