Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
napata picha jinsi ulivyokua unaandika huku machozi yakikutoka. pole mkuu,naomba namba yako nikutumie nauli ukashitaki kwa hayati chato.Narudia kusema kama kuna Chama ambacho hakifai hapa Tanzania basi ni Chadema. Kimejaa wanasiasa wanafiki na wasaka matumbo.
Leo hii Chadema wanalegezewa na CCM ili ionekane Mama Samia ni mpenda haki na Demokrasia? Huu ni unafiki wa hali ya juu.
Tumesahau harakati zao za chini ya kapeti kuhakikisha ndege zinakamatwa? Tumesahau Kovidi ilipoingia Mbowe na genge lake walivyokuwa wakipotosha kuwa maelfu ya watu wanakufa Dar es salaam hivyo total lockdown iwekwe.
Tumesahau walivyokuwa wanashirikiana na wapambe wao wasio na nia njema kushinikiza tusipate mikopo ya World bank?
Leo hii mnawashinikiza majaji ili watengue hukumu kisa tu muonekane mnapenda Demokrasia! Mnaruhusu Mbowe na genge laki kuzurura wakati mnajua hafai kabisa.
My take: CCM inaelekea pabaya sana na mwaka 2025 moto utawaka.
Serikali ya samia kama inawajibika kwa waliyoipigia kura wakate rufaa hii kesi ya mbowe na genge lake. Wao wanaifanyia propaganda dhidi ya magufuli. Propaganda dhidi ya magufuli samia asidhani inamfaidisha binafsi. Kesi hiyo kwa maslahi ya ccm na wanachama ikatiwe rufaa mahakama ya rufaa ili kuwadhibiti wazandiki wenye nia ya kuleta utawala wa dhuluma kwa raia wa tanzania.Narudia kusema kama kuna Chama ambacho hakifai hapa Tanzania basi ni Chadema. Kimejaa wanasiasa wanafiki na wasaka matumbo.
Leo hii Chadema wanalegezewa na CCM ili ionekane Mama Samia ni mpenda haki na Demokrasia? Huu ni unafiki wa hali ya juu.
Tumesahau harakati zao za chini ya kapeti kuhakikisha ndege zinakamatwa? Tumesahau Kovidi ilipoingia Mbowe na genge lake walivyokuwa wakipotosha kuwa maelfu ya watu wanakufa Dar es salaam hivyo total lockdown iwekwe.
Tumesahau walivyokuwa wanashirikiana na wapambe wao wasio na nia njema kushinikiza tusipate mikopo ya World bank?
Leo hii mnawashinikiza majaji ili watengue hukumu kisa tu muonekane mnapenda Demokrasia! Mnaruhusu Mbowe na genge laki kuzurura wakati mnajua hafai kabisa.
My take: CCM inaelekea pabaya sana na mwaka 2025 moto utawaka.
Mtabaki hivyo hivyo wauaji wakubwa nyiee!!amini nakwambia.
Mtabaki hivyo hivyo wauaji wakubwa nyieeamini nakwambia.
😂😂😂😂Serikali ya samia kama inawajibika kwa waliyoipigia kura wakate rufaa hii kesi ya mbowe na genge lake. Wao wanaifanyia propaganda dhidi ya magufuli. Propaganda dhidi ya magufuli samia asidhani inamfaidisha binafsi. Kesi hiyo kwa maslahi ya ccm na wanachama ikatiwe rufaa mahakama ya rufaa ili kuwadhibiti wazandiki wenye nia ya kuleta utawala wa dhuluma kwa raia wa tanzania.
unajua shida yenu ni moja.Mtabaki hivyo hivyo wauaji wakubwa nyiee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Damu za watu ulizokunywa tumbo likavimba kama kupe,bado hutosheki tu?mkuu badilika zama zimeshabadilika,aliyekufa amekufa hatarudi...YUPO MWINGINE KWA SASA..AMBAYE YEYE KUNYWA DAMU ZA WATU NI DHAMBI KWAKE..ANAJITAKASA.VUMILIA TU MKUU,VUMILIA...UKIONA KERO INAZIDI JITAHIDI UFANYE MAZOEZI NA UZINGATIE IBADA KWA MOLA WAKO,Narudia kusema kama kuna Chama ambacho hakifai hapa Tanzania basi ni Chadema. Kimejaa wanasiasa wanafiki na wasaka matumbo.
Leo hii Chadema wanalegezewa na CCM ili ionekane Mama Samia ni mpenda haki na Demokrasia? Huu ni unafiki wa hali ya juu.
Tumesahau harakati zao za chini ya kapeti kuhakikisha ndege zinakamatwa? Tumesahau Kovidi ilipoingia Mbowe na genge lake walivyokuwa wakipotosha kuwa maelfu ya watu wanakufa Dar es salaam hivyo total lockdown iwekwe.
Tumesahau walivyokuwa wanashirikiana na wapambe wao wasio na nia njema kushinikiza tusipate mikopo ya World bank?
Leo hii mnawashinikiza majaji ili watengue hukumu kisa tu muonekane mnapenda Demokrasia! Mnaruhusu Mbowe na genge laki kuzurura wakati mnajua hafai kabisa.
My take: CCM inaelekea pabaya sana na mwaka 2025 moto utawaka.
Leo hii Chadema wanalegezewa na CCM ili ionekane Mama Samia ni mpenda haki na Demokrasia? Huu ni unafiki wa hali ya juu.
Hivi hapa Mnafiki ni MLEGEZAJI au MLEGEZEWA??
Kwani unafikiri kwa kutumia nini?
Sasa Kama vinatufariji tusifarijike?unajua shida yenu ni moja.
mmekuwa watu wenye kutafuta faraja sana hata kwa vitu vidogo.
ccm inajua udhaifu wenu.
........ moja wao kule bungeni aliomba eti wabunge waongezwe mishahara ili ilingane na ya wabunge wa Kenya na Afrika Kusini.....!!!Nitajie mwanasiasa mmoja tu ndani ya chama chako cha CCM ambaye haliwazii tumbo lake. Inaonekana huwafahamu vizuri wanasiasa! Kwa taarifa yako wote ni wabinafsi na wachumia tumbo tu.
Labda Mwalimu Nyerere na baadhi ya Wajamaa wenzake wavhache, walau walijitahidi.
Ni dhahiri hauna akili timamu.
Napendekeza Ndege Mpya Zijazo Ziandikwe "Kazi Iendelee "
Madame Samia Suluhu Hassan
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Nchi yangu ina watu watupu sana kichwani , kama wewe ukifa huo mbichwa wako, wafaa uwekwe kwenye jumba la makumbusho ,kizazi kijacho kilipie kukutazama, uliwezaje kuishi duniani na huo utupu wako kichwaniNarudia kusema kama kuna Chama ambacho hakifai hapa Tanzania basi ni Chadema. Kimejaa wanasiasa wanafiki na wasaka matumbo.
Leo hii Chadema wanalegezewa na CCM ili ionekane Mama Samia ni mpenda haki na Demokrasia? Huu ni unafiki wa hali ya juu.
Tumesahau harakati zao za chini ya kapeti kuhakikisha ndege zinakamatwa? Tumesahau Kovidi ilipoingia Mbowe na genge lake walivyokuwa wakipotosha kuwa maelfu ya watu wanakufa Dar es salaam hivyo total lockdown iwekwe.
Tumesahau walivyokuwa wanashirikiana na wapambe wao wasio na nia njema kushinikiza tusipate mikopo ya World bank?
Leo hii mnawashinikiza majaji ili watengue hukumu kisa tu muonekane mnapenda Demokrasia! Mnaruhusu Mbowe na genge laki kuzurura wakati mnajua hafai kabisa.
My take: CCM inaelekea pabaya sana na mwaka 2025 moto utawaka.
Mkuu hii Sasa ndio Ccm halisi,Narudia kusema kama kuna Chama ambacho hakifai hapa Tanzania basi ni Chadema. Kimejaa wanasiasa wanafiki na wasaka matumbo.