Mkuu jikite kwenye mada. Ccm haina haja ya kuwalegezea Chadema ili ionekane inalinda demokrasia.
Usitake kufumba macho. Kuwazia tumbo la mtu isiwe sababu ya kupiga madili nje na kipato halali. Kuchumia tumbo siasa ni kama kutafuna michango na kula ruzuku. Lakini kiongozi kama Mangula anaetegemea mshahara wake unamuweka kundi gani?
sasa wanafiki ndio nani, ni CCM inayowalegezea CHADEMA ilionekane inaendesha utawala wa kidemokrasia au ni CHADEMA wanolegezewa?Narudia kusema kama kuna Chama ambacho hakifai hapa Tanzania basi ni Chadema. Kimejaa wanasiasa wanafiki na wasaka matumbo.
Leo hii Chadema wanalegezewa na CCM ili ionekane Mama Samia ni mpenda haki na Demokrasia? Huu ni unafiki wa hali ya juu.
Tumesahau harakati zao za chini ya kapeti kuhakikisha ndege zinakamatwa? Tumesahau Kovidi ilipoingia Mbowe na genge lake walivyokuwa wakipotosha kuwa maelfu ya watu wanakufa Dar es salaam hivyo total lockdown iwekwe.
Tumesahau walivyokuwa wanashirikiana na wapambe wao wasio na nia njema kushinikiza tusipate mikopo ya World bank?
Leo hii mnawashinikiza majaji ili watengue hukumu kisa tu muonekane mnapenda Demokrasia! Mnaruhusu Mbowe na genge laki kuzurura wakati mnajua hafai kabisa.
My take: CCM inaelekea pabaya sana na mwaka 2025 moto utawaka.
Zilizopo zilizopo zifutwe ile kauli mbiu ya kuwanyima watumishi mishahara na wananchi kukosa amani na furaha!Napendekeza Ndege Mpya Zijazo Ziandikwe "Kazi Iendelee "
Madame Samia Suluhu Hassan
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Hivi unajua kuwa ccm na CDM vipo sawa mbele ya Sheria? Unajua ccm haina mamlaka ya kuvipangia vyama vingine vya kisiasa kitu Cha kufanya? Unajua kuwa kila chama Cha siasa kina Imani yake ambayo haivunji Sheria?Narudia kusema kama kuna Chama ambacho hakifai hapa Tanzania basi ni Chadema. Kimejaa wanasiasa wanafiki na wasaka matumbo.
Leo hii Chadema wanalegezewa na CCM ili ionekane Mama Samia ni mpenda haki na Demokrasia? Huu ni unafiki wa hali ya juu.
Tumesahau harakati zao za chini ya kapeti kuhakikisha ndege zinakamatwa? Tumesahau Kovidi ilipoingia Mbowe na genge lake walivyokuwa wakipotosha kuwa maelfu ya watu wanakufa Dar es salaam hivyo total lockdown iwekwe.
Tumesahau walivyokuwa wanashirikiana na wapambe wao wasio na nia njema kushinikiza tusipate mikopo ya World bank?
Leo hii mnawashinikiza majaji ili watengue hukumu kisa tu muonekane mnapenda Demokrasia! Mnaruhusu Mbowe na genge laki kuzurura wakati mnajua hafai kabisa.
My take: CCM inaelekea pabaya sana na mwaka 2025 moto utawaka.
Hiyo hoja ya muda wa Rais mbona huiongelei? Hata huyu tuendeleze ile hoja yetu "Atake asitake, tutamuongezea muda"Hujui lolote mlopokaji mkubwa. Siasa ndio kila kitu inagovern kila jambo unalofanya.
Unao ushahidi wa haya utuwekee hapa tuujadili?Chadema haifai inaliombea mabaya taifa letu kila mara sio watu wa kuwakumbatia kabisa.
Una utani na viongozi wako wa ccm? Subiri nikuitie kina Lukuvi, Ndugai na Mangula waliokaa kwenye nafasi zao kwa miaka 30!Ahaaaa. Nafikiri hujaelewa mantiki ya hoja yangu. Kama taifa hatutakiwi kukumbatia wanasiasa wajaza matumbo.
Ndiyo Ukweli WenyeweZilizopo zilizopo zifutwe ile kauli mbiu ya kuwanyima watumishi mishahara na wananchi kukosa amani na furaha!
Jina zuri ninaloweza kukuita kwa kukutendea haki ni kwamba wewe ni mbwa.Narudia kusema kama kuna Chama ambacho hakifai hapa Tanzania basi ni Chadema. Kimejaa wanasiasa wanafiki na wasaka matumbo.
Leo hii Chadema wanalegezewa na CCM ili ionekane Mama Samia ni mpenda haki na Demokrasia? Huu ni unafiki wa hali ya juu.
Tumesahau harakati zao za chini ya kapeti kuhakikisha ndege zinakamatwa? Tumesahau Kovidi ilipoingia Mbowe na genge lake walivyokuwa wakipotosha kuwa maelfu ya watu wanakufa Dar es salaam hivyo total lockdown iwekwe.
Tumesahau walivyokuwa wanashirikiana na wapambe wao wasio na nia njema kushinikiza tusipate mikopo ya World bank?
Leo hii mnawashinikiza majaji ili watengue hukumu kisa tu muonekane mnapenda Demokrasia! Mnaruhusu Mbowe na genge laki kuzurura wakati mnajua hafai kabisa.
My take: CCM inaelekea pabaya sana na mwaka 2025 moto utawaka.
Wewe fala, kuwa katibu wa uvccm kusikutoe ufahamu! Hicho cheo umepewa tu Tena kwa hisani ilikuwa urudi mtwivila kugema ulanzi! Na ole wako urudie ule ujinga wako wa kutaja watu wenye itikadi tofauti wauawe!Ni dhahiri hauna akili timamu.
Kwani ccm ni mzazi wake Hadi ahuzunike kikifa? Kazi itakuwa kwenu maana mtakosa pa kujificha! Ombeni Sana asiwe na roho hiyo maana mtalia na kusaga meno!Acha chama kimfie, atakua tais wa kwanza kufeli na historia itamkumbuka hivyo!
Jibu mujarabu kabisa, salute kwako.Anzisha chama chako Mkuu!
Hii ndio CCM ya Jembe na Nyundo..CCM makinikia ishaondoka.. CCM ya risasi na viroba ishazikwa..
Maisha mafupi sana.
Kama hao wa CCM wanaoomba kuongezewa mishara na marupurupu ya ubunge huku wakipigiana makofi lakini walimu, nurses na wengineo wakisota kwa mishara kiduchu na mazingira magumu ya kazi zao.Ahaaaa. Nafikiri hujaelewa mantiki ya hoja yangu. Kama taifa hatutakiwi kukumbatia wanasiasa wajaza matumbo.
Lile takataka lilikuwa na chuki na ndio iliyomuondoa, mataga hamtaki kujifunza kituNarudia kusema kama kuna Chama ambacho hakifai hapa Tanzania basi ni Chadema. Kimejaa wanasiasa wanafiki na wasaka matumbo.
Leo hii Chadema wanalegezewa na CCM ili ionekane Mama Samia ni mpenda haki na Demokrasia? Huu ni unafiki wa hali ya juu.
Tumesahau harakati zao za chini ya kapeti kuhakikisha ndege zinakamatwa? Tumesahau Kovidi ilipoingia Mbowe na genge lake walivyokuwa wakipotosha kuwa maelfu ya watu wanakufa Dar es salaam hivyo total lockdown iwekwe.
Tumesahau walivyokuwa wanashirikiana na wapambe wao wasio na nia njema kushinikiza tusipate mikopo ya World bank?
Leo hii mnawashinikiza majaji ili watengue hukumu kisa tu muonekane mnapenda Demokrasia! Mnaruhusu Mbowe na genge laki kuzurura wakati mnajua hafai kabisa.
My take: CCM inaelekea pabaya sana na mwaka 2025 moto utawaka.
Rudi shule ukasome pumbavu.Narudia kusema kama kuna Chama ambacho hakifai hapa Tanzania basi ni Chadema. Kimejaa wanasiasa wanafiki na wasaka matumbo.