Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
MmmhHii week hatimae imeisha, ni jambo la kushukuru Mungu. Kwa upande wa CCM mambo si haba, at least wamethibitisha haya machache japo kwa kutuhumiana na kushutumiana!
1. Wabunge wa CCM wanawatuhumu wabunge wenzao WA CCM kuwa mashoga/mabasha na KIONGOZI wa Bunge anakaa kimya kuashiria ni kweli.
2. Wabunge/mawaziri wa CCM kuanza kutuhumiana kuuwana! Kila MTU anamugopa Mwenzie, Hali SI shwari!
3. Kabla hata Arobaini ya Yuda haijaisha tangu amsaliti Kristo, tayari Kuna Mbunge wa CCM tena ndani ya Bunge lao anasimama akiwa na vielelezo jinsi Waziri alivyotafuna trillion nzima na point zake.
CCM hamkujua kuwa adui yenu ni nyie wenyewe? View attachment 2596235
🤣🤣🤣🤣😂Oale Eid na Sabato vinapokutana!View attachment 2596245
Anzisha thread nyinginechadema mnachowafanyia kina mama wa bawacha sijui mtajibu nini
Wabunge wa CCM, wapinzani walicheleweaha maendeleo2025 ni mbali sana kwa kweli kwa aina hii ya Wabunge!
Hili la kuuwana ndio nimelipenda sana sanaCCM kiende kuzimu Mtanganyika apate Uhuru.
Hahahahahaha mwezi mgumu sana huu kwa CCMMtume kuna muujiza huku!
Nini kimetokea?
Kile chama cha majizi sasa wanatuhumiana kuwa pia ni ma bwabwa.
Ooh utukufu kwa Mungu.
Nasikia ni Basha hahahahaaa kazi wanayoMzee Mtemvu anawaalibu vijana wa kiume CCM na yeye akapimwe
Mpe pole mama yako kama alifanyiwa mchezo mbaya na Chademachadema mnachowafanyia kina mama wa bawacha sijui mtajibu nini
This time hakuna namna wanaweza ungana.Ila msisahau Nape alisema wakifika kwenye uchaguzi na kushika madaraka ni habari nyingine kabisa, wote wanakuwa kitu kimoja!