CCM Kwa moto sana, watuhumiana Ushoga, Wizi na Uuaji!

CCM Kwa moto sana, watuhumiana Ushoga, Wizi na Uuaji!

CCM ni chama bora chenye wanachama zaidi ya milioni 7...

Ajabu kwa wingi huu wakakosekana watu wa hovyo walio wachache.....

Ni sawa na wale "mash...." wawili maarufu na "wasag...." nguli watano wa Chadema wakifanye chama kizima kuwa "mahobobo".....

#SiempreCCM
 
Relax! Elewa situation ilivyo
 
CCM ni chama bora chenye wanachama zaidi ya milioni 7...

Ajabu kwa wingi huu wakakosekana watu wa hovyo walio wachache.....

Ni sawa na wale "mash...." wawili maarufu na "wasag...." nguli watano wa Chadema wakifanye chama kizima kuwa "mahobobo".....

#SiempreCCM
Watu wanatishiana kuuuwana wewe unaongea upuuzi
 
Kutishia kuua ni kosa la JINAI....amefanya mtu na hakijafanya chama....
 
Kutishia kuua ni kosa la JINAI...amefanya mtu na hakijafanya chama....
 
Kutishia kuua ni kosa la JINAI...amefanya mtu na hakijafanya chama....
 
Kutishia kuua ni KOSA LA JINAI....

Amefanya mtu....hakijafanya chama....
 
Hii week hatimae imeisha, ni jambo la kushukuru Mungu. Kwa upande wa CCM mambo si haba, at least wamethibitisha haya machache japo kwa kutuhumiana na kushutumiana!

1. Wabunge wa CCM wanawatuhumu wabunge wenzao WA CCM kuwa mashoga/mabasha na KIONGOZI wa Bunge anakaa kimya kuashiria ni kweli.

2. Wabunge/mawaziri wa CCM kuanza kutuhumiana kuuwana! Kila MTU anamugopa Mwenzie, Hali SI shwari!

3. Kabla hata Arobaini ya Yuda haijaisha tangu amsaliti Kristo, tayari Kuna Mbunge wa CCM tena ndani ya Bunge lao anasimama akiwa na vielelezo jinsi Waziri alivyotafuna trillion nzima na point zake.

CCM hamkujua kuwa adui yenu ni nyie wenyewe?

View attachment 2596235
Screenshot_20230422_182304_Samsung Internet.jpg
 
Kutishia kuua ni KOSA LA JINAI....

Amefanya mtu....hakijafanya chama....
Relax, huwezi kutenganisha hivi vitu Brother! Unachosema ni sawa na dhahabu ikikutwa kwa garden yako inakua Mali ya serikali ila bangi ikikutwa kwenye garden hio hio inakua yako! Hapana
 
Back
Top Bottom