CCM Kwa moto sana, watuhumiana Ushoga, Wizi na Uuaji!

CCM Kwa moto sana, watuhumiana Ushoga, Wizi na Uuaji!

Hii week hatimae imeisha, ni jambo la kushukuru Mungu. Kwa upande wa CCM mambo si haba, at least wamethibitisha haya machache japo kwa kutuhumiana na kushutumiana!

1. Wabunge wa CCM wanawatuhumu wabunge wenzao WA CCM kuwa mashoga/mabasha na KIONGOZI wa Bunge anakaa kimya kuashiria ni kweli.

2. Wabunge/mawaziri wa CCM kuanza kutuhumiana kuuwana! Kila MTU anamugopa Mwenzie, Hali SI shwari!

3. Kabla hata Arobaini ya Yuda haijaisha tangu amsaliti Kristo, tayari Kuna Mbunge wa CCM tena ndani ya Bunge lao anasimama akiwa na vielelezo jinsi Waziri alivyotafuna trillion nzima na point zake.

CCM hamkujua kuwa adui yenu ni nyie wenyewe?

View attachment 2596235
Ndio kazi yao.
 
Back
Top Bottom