Fundi Madirisha
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 184
- 1,000
Kabisa mkuuKitendo cha kuitaja tu timu ya Wananchi kimenishawishi kukuona wewe ni mbumbumbu according to Ismail Aden Rage.
Ipo siku hiyo mbeleko itakatikaCCM imeoza sema inabebwa na dola
Hivi mbowe yupo wapi?CCM imeoza sema inabebwa na dola
Mama anachapa kazi, nyie endeleeni kupiga ramli.Ndo maana hata mwanasheria kampotosha juu ya uundwaji wa Baraza....nahisi Kuna kitu kinasukwa Sio bure
Usije ukawa umemficha Kamanda ndani! Unampikia mahanjumati ya kila aina, unamuogesha kwa maji ya iriki, na kila anapotaka kuondoka asubuhi, unaziloeka nguo zake kwenye maji kwa kigezo cha kuzifua!Hivi mbowe yupo wapi?
Mbona hajulikani al8ko mpaka askofu mwamakur anae anamuuliza au nae tusubili lingine?
Muulize mama yako, maana jana niliwaona wanaongozana nayeHivi mbowe yupo wapi?
Mbona hajulikani al8ko mpaka askofu mwamakur anae anamuuliza au nae tusubili lingine?
Dola imemsaliti Bashiru...CCM imeoza sema inabebwa na dola
Nasikia alienda uarabuni na huko huwa hawalei kuku wa kienyeji, hutafunwa hadi mifupaUsije ukawa umemficha Kamanda ndani! Unampikia mahanjumati ya kila aina, unamuogesha kwa maji ya iriki, na kila anapotaka kuondoka asubuhi, unaziloeka nguo zake kwenye maji kwa kigezo cha kuzifua!
Halafu baadae unakimbilia huku jukwaani kuja kuwazingua wapambe wake! Mwanamke mbaya wewe!!π₯΅π₯΅
kupata utabiri kama huu,nifanyeje mkuu??Siku sio nyingi watajigawa.
Mbona tayari,yale mashudu anayomwaga 'Veronica France' yamekipasua vibaya sana chama. Kwa vile wao walitegemea sana mitutu ya bunduki kuvihujumu vyama vya upinzani sasa Mungu ameamua kuwapiga upofu wauane wenyewe. Mungu fundi kweli kweli.Sukuma Gang wanaona "bora tukose wote".Siku sio nyingi watajigawa.