mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
CCM ina wenyewe[emoji16][emoji16]
1.Samia ni kama Magu2 tu ndiyo maana hata Corona ameipotezea.Samia is Magu2...
Kifo hakijawahi kuwa bakora ila ni safari...
Amefanya yake makubwa duniani...
Na endelea kutimiza kipaji chako...
Mama kawachukulia poa sana wale Jamaa. Mi ningekuwa niko karibu na maza,sasa hivi walitakiwa wale Segedance hata kwa kuwawekea vipisi vya ba ngiUkweli uliowazi kuna watu wameumia Sana , mama Samia kupata urais , mpaka wakapanga uhaini , mbaya zaidi huyu mama kawachukulia hatua nyepesinyepesi , asizokuwa makini bendera itapepea nusu mlingoti kabla ya 2025 .
IHii tabia ya baadhi ya watu kujisahau katika mamlaka kutaka kujimilikisha chama kutokujali kwamba vyeo ni dhamana ndio tatizo.
Nimeshangaa sana CCM ya JPM kila kilichofanyika walikua wanapongeza na kusifia hata mzee akitukana, Kwa sasa watu wale wale wamekua wanarudi kama Yanga(Jokes), hawashangilii wala kupongeza kazi za mama kama zamani.
Niko katika group nyingi za chama za WatsApp na mitandao miingine, yaani ni kimya hata kama kuna tukio litatokea hatutaarifiani. Hii ni kwamba hawakubaliani na Mamlaka iliyopo au wanataka nini? Mzee keshaondoka na mema yake kaacha tumalizie alikoachia acheni chuki tutakigawa chama.
Ukitaka kulifahamu hili angalia wapuuzi wachache walivyomjia juu Chairman wa umoja wa vijana ndugu Heri James kwa kuomba radhi ili kurudisha upendo katika jamii. Vijana hawakutaka hili kabisa wakaamua kumtusi Mwenyekiti kila aina ya tusi wakimwita mwaka tonge.
CCM kuna tatizo! kwamba Rais hataki mambo hizo za sifa sifa mkuu
Itakua Rais hataki hizo mambo za sifa sifa, tuendelee kupiga kazi mkuuKitendo cha kuitaja tu timu ya Wananchi kimenishawishi kukuona wewe ni mbumbumbu according to Ismail Aden Rage.
Kuna mi-CCM mijipumbaaf ilikuwa ikifikiri Jiwe alikuwa kila kitu....!!! Today is history!!Hii tabia ya baadhi ya watu kujisahau katika mamlaka kutaka kujimilikisha chama kutokujali kwamba vyeo ni dhamana ndio tatizo.
Nimeshangaa sana CCM ya JPM kila kilichofanyika walikua wanapongeza na kusifia hata mzee akitukana, Kwa sasa watu wale wale wamekua wanarudi kama Yanga(Jokes), hawashangilii wala kupongeza kazi za mama kama zamani.
Niko katika group nyingi za chama za WatsApp na mitandao miingine, yaani ni kimya hata kama kuna tukio litatokea hatutaarifiani. Hii ni kwamba hawakubaliani na Mamlaka iliyopo au wanataka nini? Mzee keshaondoka na mema yake kaacha tumalizie alikoachia acheni chuki tutakigawa chama.
Ukitaka kulifahamu hili angalia wapuuzi wachache walivyomjia juu Chairman wa umoja wa vijana ndugu Heri James kwa kuomba radhi ili kurudisha upendo katika jamii. Vijana hawakutaka hili kabisa wakaamua kumtusi Mwenyekiti kila aina ya tusi wakimwita mwaka tonge.
CCM kuna tatizo!
Kweri Kweri, Au nasema uongo ndugu zangu?Na anapendwa kwelikweli
Wengi huko ccm wapo kwenye denial period na wengine wapo kwenye anger state kwa Sasa. Hii kawaida kwa binadamu pindi wanapopitishwa kwenye mabadiliko. Bado hatua nne tu watabadilika wakizimaliza! Vuta subira.Hii tabia ya baadhi ya watu kujisahau katika mamlaka kutaka kujimilikisha chama kutokujali kwamba vyeo ni dhamana ndio tatizo.
Nimeshangaa sana CCM ya JPM kila kilichofanyika walikua wanapongeza na kusifia hata mzee akitukana, Kwa sasa watu wale wale wamekua wanarudi kama Yanga(Jokes), hawashangilii wala kupongeza kazi za mama kama zamani.
Niko katika group nyingi za chama za WatsApp na mitandao miingine, yaani ni kimya hata kama kuna tukio litatokea hatutaarifiani. Hii ni kwamba hawakubaliani na Mamlaka iliyopo au wanataka nini? Mzee keshaondoka na mema yake kaacha tumalizie alikoachia acheni chuki tutakigawa chama.
Ukitaka kulifahamu hili angalia wapuuzi wachache walivyomjia juu Chairman wa umoja wa vijana ndugu Heri James kwa kuomba radhi ili kurudisha upendo katika jamii. Vijana hawakutaka hili kabisa wakaamua kumtusi Mwenyekiti kila aina ya tusi wakimwita mwaka tonge.
CCM kuna tatizo!
Waache tu.CCM itazidi kuimarika kila kukicha
[emoji15] yanaanzaga hvi uvi kama utani.Ukweli uliowazi kuna watu wameumia Sana , mama Samia kupata urais , mpaka wakapanga uhaini , mbaya zaidi huyu mama kawachukulia hatua nyepesinyepesi , asizokuwa makini bendera itapepea nusu mlingoti kabla ya 2025 .
Kweri Kweri, Au nasema uongo ndugu zangu?
Mama kawachukulia poa sana wale Jamaa. Mi ningekuwa niko karibu na maza,sasa hivi walitakiwa wale Segedance hata kwa kuwawekea vipisi vya ba ngi
Nalog off
Hii tabia ya baadhi ya watu kujisahau katika mamlaka kutaka kujimilikisha chama kutokujali kwamba vyeo ni dhamana ndio tatizo.
Nimeshangaa sana CCM ya JPM kila kilichofanyika walikua wanapongeza na kusifia hata mzee akitukana, Kwa sasa watu wale wale wamekua wanarudi kama Yanga(Jokes), hawashangilii wala kupongeza kazi za mama kama zamani.
Niko katika group nyingi za chama za WatsApp na mitandao miingine, yaani ni kimya hata kama kuna tukio litatokea hatutaarifiani. Hii ni kwamba hawakubaliani na Mamlaka iliyopo au wanataka nini? Mzee keshaondoka na mema yake kaacha tumalizie alikoachia acheni chuki tutakigawa chama.
Ukitaka kulifahamu hili angalia wapuuzi wachache walivyomjia juu Chairman wa umoja wa vijana ndugu Heri James kwa kuomba radhi ili kurudisha upendo katika jamii. Vijana hawakutaka hili kabisa wakaamua kumtusi Mwenyekiti kila aina ya tusi wakimwita mwaka tonge.
CCM kuna tatizo!
Walifika hata kusema yeye ni zaidi ya Mungu muumba wa mbingu na nchi.Kuna mi-CCM mijipumbaaf ilikuwa ikifikiri Jiwe alikuwa kila kitu....!!! Today is history!!
Kumbukeni lugha za kina Kangi Lugola KUMFANANISHA JIWE NA BWANA YESU KRISTO.....!!?? Kama kuna kufuru iliwahi kufanywa na mwana CCM basi ilikuwa ni hiyo...!!! Sishangai wala sijutii kwa Maulana kuamua kumpumzisha huyu Jiwe maana alizidi sana kujiinua kitu ambacho Mungu huwa hakipendi kabisa.....!!
Never ever play with God.
1.Samia ni kama Magu2 tu ndiyo maana hata Corona ameipotezea.
2.Kifo cha kujitakia kwa kuicha Corona itambe hadi ikuue siyo safari bali ni bakora ya kujitakia.
3.Makubwa aliyofanya duniani ni:
1.Kuondoka duniani wakati hahitajiki.
2.Kuteka wapinzani wake kama akina Azory Gwanda.
3.Kutesa wapinzani wake kwa kuwaweka ndani kila siku.
4.Kuua wapinzani wake na wakosoaji wake kama akina Ben saanane na kuwapiga wapinzani wake risasi kama ilivyokuwa kwa Tindu Lissu.
5.Kuua uhuru wa vyombo vya habari.
6.Kuua uhuru wa kujieleza kwa wananchi kama vile kufungia mitandao ya kijamii kama twitter na kukamata wanaotumia mitandao mingine kumkosoa.
7.Kuiba kura kwa kutumia Polisi,jeshi,TISS pamoja na tume ya uchaguzi.
8.Kuua biashara za watu kupitia sera mbovu za uchumi.
9.Kudanganya katika takwimu za ukuaji wa uchumi wa nchi.
10.Kuweka mihimili yote mitatu mfukoni mwake,yaani mhimili wa urais,bunge na mahakama.
11.Kuua uchumi wa nchi kupitia sheria mbovu za uwekezaji.
12.Kuua watu kwa Corona kupitia leadership negligence.
13.Kuhakikisha kuwa akina Ben Saanane na Azory Gwanda walikipata cha mtema kuni.
14.Ukabila kwa kuhamishia rasilimali nyingi za nchi katika wilaya ya Chato na kujaza wasukuma serikalini.
15 Ukanda kwa kupeleka SGR mwanza wakati siyo economic viable zone.
16.Ubaguzi wa rangi kwa kuwakandia wanawake weusi.Imagine mtu anafanya ubaguzi wa rangi karne ya 21!Is this not insane?
17.Kugandamiza demokrasia kwa kukataza vyama vya upinzani kufanya siasa wakati CCM kufanya siasa ni ruksa.
18.Kunyanyasa malaika-watoto wa kike wasirudi shule wakipata mimba.
19.Ufisadi wa kutisha kwa kufanya miradi mikubwa bila budget kupita bungeni.
20.Wizi wa kutisha wa mali ya uma kupitia kampuni yake ya Mayanga constructions LTD.Mfano uwanja wa Chato umetengenezwa na kampuni hii bila tenda kuitwa.
21.Kubambikizia kesi za kuhujumu uchumi wapinzani wake nchi nzima na kuwatupa korokoroni.
22.Kugushi report ya CAG ya hasara za mabilion za ndege za TTCL na kuilazimisha TTCL watoe gawio fake kwa serekali.
23.Kupora utajiri halali na wa jasho wa matajiri wa Tanzania kwa kuwabambikizia kesi fake za kuhujumu uchumi na kuwalazimisha wakiri makosa ya uwongo kisha kuwafilisi mali zao.
Kuna mi-CCM mijipumbaaf ilikuwa ikifikiri Jiwe alikuwa kila kitu....!!! Today is history!!
Kumbukeni lugha za kina Kangi Lugola KUMFANANISHA JIWE NA BWANA YESU KRISTO.....!!?? Kama kuna kufuru iliwahi kufanywa na mwana CCM basi ilikuwa ni hiyo...!!! Sishangai wala sijutii kwa Maulana kuamua kumpumzisha huyu Jiwe maana alizidi sana kujiinua kitu ambacho Mungu huwa hakipendi kabisa.....!!
Never ever play with God.
CCM ni ile ile na mambo ni yale yale. Wanajua hasira za watanzania kama watagawanyika. Hawawezi kutenda hili kosa.Hii tabia ya baadhi ya watu kujisahau katika mamlaka kutaka kujimilikisha chama kutokujali kwamba vyeo ni dhamana ndio tatizo.
Nimeshangaa sana CCM ya JPM kila kilichofanyika walikua wanapongeza na kusifia hata mzee akitukana, Kwa sasa watu wale wale wamekua wanarudi kama Yanga(Jokes), hawashangilii wala kupongeza kazi za mama kama zamani.
Niko katika group nyingi za chama za WatsApp na mitandao miingine, yaani ni kimya hata kama kuna tukio litatokea hatutaarifiani. Hii ni kwamba hawakubaliani na Mamlaka iliyopo au wanataka nini? Mzee keshaondoka na mema yake kaacha tumalizie alikoachia acheni chuki tutakigawa chama.
Ukitaka kulifahamu hili angalia wapuuzi wachache walivyomjia juu Chairman wa umoja wa vijana ndugu Heri James kwa kuomba radhi ili kurudisha upendo katika jamii. Vijana hawakutaka hili kabisa wakaamua kumtusi Mwenyekiti kila aina ya tusi wakimwita mwaka tonge.
CCM kuna tatizo!
Siyo facts?Magufuli hakusema kuwa katika utawala wake hakuna mtoto wa kike ambae atarudi shule kama atapata mimba?Wapinzani hawakuwa wanabambikiziwa kesi za kuhujumu uchumi?Magufuli hakusema kuwa Corona imeondolewa Tanzania kwa maombi ya siku tatu?Umeandika chuki zako zinazokuhusu...
Ukifa na corona huna muda wa kuita Cardinal akupe mpako wa mwisho na kuanzisha sala na nyimbo kisha unakata roho... Reasoning ndogo...
Mengine uliyoandika ni hisia zakk mbovu sio facts...
By the way wananchi tumemuonesha mapenzi yetu....
It's ok washirikina mkihubiri chuki... [emoji16][emoji16]