CCM lipo tatizo kwa sasa, tena kubwa sana. Hawamkubali Mama?

Kwa sisi wazee tulimwelewa juu ya no mimba shuleni... daini haki za mimba shule..

Sina ushahidi wa kubambikwa...

Siyo facts?Magufuli hakusema kuwa katika utawala wake hakuna mtoto wa kike ambae atarudi shule kama atapata mimba?Wapinzani hawakuwa wanabambikiziwa kesi za kuhujumu uchumi?Magufuli hakusema kuwa Corona imeondolewa Tanzania kwa maombi ya siku tatu?
 
Hii tabia ya baadhi ya watu kujisahau katika mamlaka kutaka kujimilikisha chama kutokujali kwamba vyeo ni dhamana ndio tatizo.

Nimeshangaa sana CCM ya JPM kila kilichofanyika walikua wanapongeza na kusifia hata mzee akitukana, Kwa sasa watu wale wale wamekua wanarudi kama Yanga(Jokes), hawashangilii wala kupongeza kazi za mama kama zamani.

Niko katika group nyingi za chama za WatsApp na mitandao miingine, yaani ni kimya hata kama kuna tukio litatokea hatutaarifiani. Hii ni kwamba hawakubaliani na Mamlaka iliyopo au wanataka nini? Mzee keshaondoka na mema yake kaacha tumalizie alikoachia acheni chuki tutakigawa chama.

Ukitaka kulifahamu hili angalia wapuuzi wachache walivyomjia juu Chairman wa umoja wa vijana ndugu Heri James kwa kuomba radhi ili kurudisha upendo katika jamii. Vijana hawakutaka hili kabisa wakaamua kumtusi Mwenyekiti kila aina ya tusi wakimwita mwaka tonge.

CCM kuna tatizo!
Wanaona aibu,trend alokuwa nayo mzee ilikuwa kutumia mabavu tu sasa mama amejibainisha kuwa haamini katika dhihaka na dharau. Hapo sasa inawawia vigumu kujibadili na kuanza kuicheza ngoma ya mama!
 
Kwa sisi wazee tulimwelewa juu ya no mimba shuleni... daini haki za mimba shule..

Sina ushahidi wa kubambikwa...
Jamaa alitaka mtu wanafunzi wakipata mimba waendelee na shule tu. Ikifika saa nne anaenda kunyonyesha. Mtoto yupo darasa la 7 ana watoto 2.kuwa mpinzani ni wito aisee maaan kila kitu lazma ukosoe. Huyu anaonekana hata mke wake akiwa analiwa nje na akamshika ataendelea kuwa nae tu maana ni haki yake[emoji1787][emoji1787]
 
nashaur katiba ibadilishwe mama aongezewe muda. atake asitake.
 
Hii tabia ya baadhi ya watu kujisahau katika mamlaka kutaka kujimilikisha chama kutokujali kwamba vyeo ni dhamana ndio tatizo.

Nimeshangaa sana CCM ya JPM kila kilichofanyika walikua wanapongeza na kusifia hata mzee akitukana, Kwa sasa watu wale wale wamekua wanarudi kama Yanga(Jokes), hawashangilii wala kupongeza kazi za mama kama zamani.

Niko katika group nyingi za chama za WatsApp na mitandao miingine, yaani ni kimya hata kama kuna tukio litatokea hatutaarifiani. Hii ni kwamba hawakubaliani na Mamlaka iliyopo au wanataka nini? Mzee keshaondoka na mema yake kaacha tumalizie alikoachia acheni chuki tutakigawa chama.

Ukitaka kulifahamu hili angalia wapuuzi wachache walivyomjia juu Chairman wa umoja wa vijana ndugu Heri James kwa kuomba radhi ili kurudisha upendo katika jamii. Vijana hawakutaka hili kabisa wakaamua kumtusi Mwenyekiti kila aina ya tusi wakimwita mwaka tonge.

CCM kuna tatizo!

Ccm sio chama cha siasa, bali ni kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa. Kuna watu huwa wanasema ccm ni chama imara, na eti wakati wa Magufuli kilikuwa imara sana. Ukweli ni kuwa chini ya Magufuli ccm haikuwahi kuwa chama imara, bali kilibebwa na kiburi chake cha madaraka.

Ccm hutegemea nguvu ya mwenyekiti wake kwa cheo cha urais kufanya siasa. Kwa namna huyu mama alivyoanza, wanaccm wameingiwa na hofu kwani inabidi warudi kupambana kisiasa, huku wakijua fika uwezo wa wao kupambana ni mdogo. Kwahiyo wanaccm kuwa wabaridi, ni kutokana na kujua ukweli kuwa mbeleko ya sasa inaweza isiwabebe vizuri.
 
[emoji16][emoji16] akili nyingine...
Sijui wanaiga Ulaya?
Jamaa alitaka mtu wanafunzi wakipata mimba waendelee na shule tu. Ikifika saa nne anaenda kunyonyesha. Mtoto yupo darasa la 7 ana watoto 2.kuwa mpinzani ni wito aisee maaan kila kitu lazma ukosoe. Huyu anaonekana hata mke wake akiwa analiwa nje na akamshika ataendelea kuwa nae tu maana ni haki yake[emoji1787][emoji1787]
 
Kweli Dola imesaliti na kumlataa Kakurwa safi sana tupa unafiki
 
Hili neno KAFAYA naelewa linamlenga mtu fulani, lakini asili yake ni nini na lina maana gani? Kama hutojali naomba unijibu.
Wewe utakuwa sio ﹰMkristo. Neno hili linapatikana kwenye ﹰBiblia ﹰTakatifu.
 
Jamaa alitaka mtu wanafunzi wakipata mimba waendelee na shule tu. Ikifika saa nne anaenda kunyonyesha. Mtoto yupo darasa la 7 ana watoto 2.kuwa mpinzani ni wito aisee maaan kila kitu lazma ukosoe. Huyu anaonekana hata mke wake akiwa analiwa nje na akamshika ataendelea kuwa nae tu maana ni haki yake[emoji1787][emoji1787]
Mama Samia akikubali watoto wenye mimba warudi shuleni Utakuja hapa Kusifia na kupiga vigelegele.

Praise team huwa hamna mnachokiamini. Mnanata na beat kwa chochote rais atakachosema. Yaani kama mataahira vile
 
Jiwe alikamata akili za watu akawaachia miguu ndo ikawa inafanya kaz
 
Back
Top Bottom