KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,187
Huko kwenye ma-group ndiko iliko CCM?Niko katika group nyingi za chama za WatsApp na mitandao miingine, yaani ni kimya hata kama kuna tukio litatokea hatutaarifiani. Hii ni kwamba hawakubaliani na Mamlaka iliyopo au wanataka nini? Mzee keshaondoka na mema yake kaacha tumalizie alikoachia acheni chuki tutakigawa chama.
Endelea kuwa na subira.kupata utabiri kama huu,nifanyeje mkuu??
Usije ukawa umemficha Kamanda ndani! Unampikia mahanjumati ya kila aina, unamuogesha kwa maji ya iriki, na kila anapotaka kuondoka asubuhi, unaziloeka nguo zake kwenye maji kwa kigezo cha kuzifua!
Halafu baadae unakimbilia huku jukwaani kuja kuwazingua wapambe wake! Mwanamke mbaya wewe!!🥵🥵
Akili zimewarudi na ujinga umeanza kuwatoka,kwani wengi walikuwa wanashangilia kama wendawazimu pasipo kutumia ubongo akili zote zilikuwa kusifu ili waonekane mwisho wa siku wapate teuzi.Hii tabia ya baadhi ya watu kujisahau katika mamlaka kutaka kujimilikisha chama kutokujali kwamba vyeo ni dhamana ndio tatizo.
Nimeshangaa sana CCM ya JPM kila kilichofanyika walikua wanapongeza na kusifia hata mzee akitukana, Kwa sasa watu wale wale wamekua wanarudi kama Yanga(Jokes), hawashangilii wala kupongeza kazi za mama kama zamani.
Niko katika group nyingi za chama za WatsApp na mitandao miingine, yaani ni kimya hata kama kuna tukio litatokea hatutaarifiani. Hii ni kwamba hawakubaliani na Mamlaka iliyopo au wanataka nini? Mzee keshaondoka na mema yake kaacha tumalizie alikoachia acheni chuki tutakigawa chama.
Ukitaka kulifahamu hili angalia wapuuzi wachache walivyomjia juu Chairman wa umoja wa vijana ndugu Heri James kwa kuomba radhi ili kurudisha upendo katika jamii. Vijana hawakutaka hili kabisa wakaamua kumtusi Mwenyekiti kila aina ya tusi wakimwita mwaka tonge.
CCM kuna tatizo!
ujenzi wa vyumba mmemaliza au bado tuje tuwafanyie real time audit? 😆😆😆Kitendo cha kuitaja tu timu ya Wananchi kimenishawishi kukuona wewe ni mbumbumbu according to Ismail Aden Rage.
😄 Huyu Nazgur atakuwa mwanamke wa kitangaUsije ukawa umemficha Kamanda ndani! Unampikia mahanjumati ya kila aina, unamuogesha kwa maji ya iriki, na kila anapotaka kuondoka asubuhi, unaziloeka nguo zake kwenye maji kwa kigezo cha kuzifua!
Halafu baadae unakimbilia huku jukwaani kuja kuwazingua wapambe wake! Mwanamke mbaya wewe!!🥵🥵
[emoji1] Huyu Nazgur atakuwa mwanamke wa kitanga
Hii tabia ya baadhi ya watu kujisahau katika mamlaka kutaka kujimilikisha chama kutokujali kwamba vyeo ni dhamana ndio tatizo.
Nimeshangaa sana CCM ya JPM kila kilichofanyika walikua wanapongeza na kusifia hata mzee akitukana, Kwa sasa watu wale wale wamekua wanarudi kama Yanga(Jokes), hawashangilii wala kupongeza kazi za mama kama zamani.
Niko katika group nyingi za chama za WatsApp na mitandao miingine, yaani ni kimya hata kama kuna tukio litatokea hatutaarifiani. Hii ni kwamba hawakubaliani na Mamlaka iliyopo au wanataka nini? Mzee keshaondoka na mema yake kaacha tumalizie alikoachia acheni chuki tutakigawa chama.
Ukitaka kulifahamu hili angalia wapuuzi wachache walivyomjia juu Chairman wa umoja wa vijana ndugu Heri James kwa kuomba radhi ili kurudisha upendo katika jamii. Vijana hawakutaka hili kabisa wakaamua kumtusi Mwenyekiti kila aina ya tusi wakimwita mwaka tonge.
CCM kuna tatizo!
wishful thinkingCCM kuna tatizo!
Sasa unataka waendeleze sifa za kijinga kama walizokuwa wanampa Mzee baba hadi kufikia kumwita Yesu ?Hii tabia ya baadhi ya watu kujisahau katika mamlaka kutaka kujimilikisha chama kutokujali kwamba vyeo ni dhamana ndio tatizo.
Nimeshangaa sana CCM ya JPM kila kilichofanyika walikua wanapongeza na kusifia hata mzee akitukana, Kwa sasa watu wale wale wamekua wanarudi kama Yanga(Jokes), hawashangilii wala kupongeza kazi za mama kama zamani.
Niko katika group nyingi za chama za WatsApp na mitandao miingine, yaani ni kimya hata kama kuna tukio litatokea hatutaarifiani. Hii ni kwamba hawakubaliani na Mamlaka iliyopo au wanataka nini? Mzee keshaondoka na mema yake kaacha tumalizie alikoachia acheni chuki tutakigawa chama.
Ukitaka kulifahamu hili angalia wapuuzi wachache walivyomjia juu Chairman wa umoja wa vijana ndugu Heri James kwa kuomba radhi ili kurudisha upendo katika jamii. Vijana hawakutaka hili kabisa wakaamua kumtusi Mwenyekiti kila aina ya tusi wakimwita mwaka tonge.
CCM kuna tatizo!
Waacheni wafu wazikane wenyewe!!Hii tabia ya baadhi ya watu kujisahau katika mamlaka kutaka kujimilikisha chama kutokujali kwamba vyeo ni dhamana ndio tatizo.
Nimeshangaa sana CCM ya JPM kila kilichofanyika walikua wanapongeza na kusifia hata mzee akitukana, Kwa sasa watu wale wale wamekua wanarudi kama Yanga(Jokes), hawashangilii wala kupongeza kazi za mama kama zamani.
Niko katika group nyingi za chama za WatsApp na mitandao miingine, yaani ni kimya hata kama kuna tukio litatokea hatutaarifiani. Hii ni kwamba hawakubaliani na Mamlaka iliyopo au wanataka nini? Mzee keshaondoka na mema yake kaacha tumalizie alikoachia acheni chuki tutakigawa chama.
Ukitaka kulifahamu hili angalia wapuuzi wachache walivyomjia juu Chairman wa umoja wa vijana ndugu Heri James kwa kuomba radhi ili kurudisha upendo katika jamii. Vijana hawakutaka hili kabisa wakaamua kumtusi Mwenyekiti kila aina ya tusi wakimwita mwaka tonge.
CCM kuna tatizo!
Endelea[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hivi mbowe yupo wapi?
Mbona hajulikani al8ko mpaka askofu mwamakur anae anamuuliza au nae tusubili lingine?
Kabisaaa,imeisha hiyo🤣🙏🙅👊🏼tena kwa mama... ndio mwisho wa minara yote ya Babeli!
👊 😅✌️💥
Na anapendwa kwelikweliMaCCM yanalalamika eti kwanini wapinzani hawamchukii Mama Samia.
🤣🤣🤣Mama nae anaanza kupuyanga, akipita mle mle kwa mtangulizi wake zetu dua tu.