CCM lipo tatizo kwa sasa, tena kubwa sana. Hawamkubali Mama?

Ukweli uliowazi kuna watu wameumia Sana , mama Samia kupata urais , mpaka wakapanga uhaini , mbaya zaidi huyu mama kawachukulia hatua nyepesinyepesi , asizokuwa makini bendera itapepea nusu mlingoti kabla ya 2025 .
 
Samia is Magu2...

Kifo hakijawahi kuwa bakora ila ni safari...

Amefanya yake makubwa duniani...

Na endelea kutimiza kipaji chako...
1.Samia ni kama Magu2 tu ndiyo maana hata Corona ameipotezea.

2.Kifo cha kujitakia kwa kuicha Corona itambe hadi ikuue siyo safari bali ni bakora ya kujitakia.

3.Makubwa aliyofanya duniani ni:

1.Kuondoka duniani wakati hahitajiki.

2.Kuteka wapinzani wake kama akina Azory Gwanda.

3.Kutesa wapinzani wake kwa kuwaweka ndani kila siku.

4.Kuua wapinzani wake na wakosoaji wake kama akina Ben saanane na kuwapiga wapinzani wake risasi kama ilivyokuwa kwa Tindu Lissu.

5.Kuua uhuru wa vyombo vya habari.

6.Kuua uhuru wa kujieleza kwa wananchi kama vile kufungia mitandao ya kijamii kama twitter na kukamata wanaotumia mitandao mingine kumkosoa.

7.Kuiba kura kwa kutumia Polisi,jeshi,TISS pamoja na tume ya uchaguzi.

8.Kuua biashara za watu kupitia sera mbovu za uchumi.

9.Kudanganya katika takwimu za ukuaji wa uchumi wa nchi.

10.Kuweka mihimili yote mitatu mfukoni mwake,yaani mhimili wa urais,bunge na mahakama.

11.Kuua uchumi wa nchi kupitia sheria mbovu za uwekezaji.

12.Kuua watu kwa Corona kupitia leadership negligence.

13.Kuhakikisha kuwa akina Ben Saanane na Azory Gwanda walikipata cha mtema kuni.

14.Ukabila kwa kuhamishia rasilimali nyingi za nchi katika wilaya ya Chato na kujaza wasukuma serikalini.

15 Ukanda kwa kupeleka SGR mwanza wakati siyo economic viable zone.

16.Ubaguzi wa rangi kwa kuwakandia wanawake weusi.Imagine mtu anafanya ubaguzi wa rangi karne ya 21!Is this not insane?

17.Kugandamiza demokrasia kwa kukataza vyama vya upinzani kufanya siasa wakati CCM kufanya siasa ni ruksa.

18.Kunyanyasa malaika-watoto wa kike wasirudi shule wakipata mimba.

19.Ufisadi wa kutisha kwa kufanya miradi mikubwa bila budget kupita bungeni.

20.Wizi wa kutisha wa mali ya uma kupitia kampuni yake ya Mayanga constructions LTD.Mfano uwanja wa Chato umetengenezwa na kampuni hii bila tenda kuitwa.

21.Kubambikizia kesi za kuhujumu uchumi wapinzani wake nchi nzima na kuwatupa korokoroni.

22.Kugushi report ya CAG ya hasara za mabilion za ndege za TTCL na kuilazimisha TTCL watoe gawio fake kwa serekali.

23.Kupora utajiri halali na wa jasho wa matajiri wa Tanzania kwa kuwabambikizia kesi fake za kuhujumu uchumi na kuwalazimisha wakiri makosa ya uwongo kisha kuwafilisi mali zao.
 
Ukweli uliowazi kuna watu wameumia Sana , mama Samia kupata urais , mpaka wakapanga uhaini , mbaya zaidi huyu mama kawachukulia hatua nyepesinyepesi , asizokuwa makini bendera itapepea nusu mlingoti kabla ya 2025 .
Mama kawachukulia poa sana wale Jamaa. Mi ningekuwa niko karibu na maza,sasa hivi walitakiwa wale Segedance hata kwa kuwawekea vipisi vya ba ngi
Nalog off
 
I
Kitendo cha kuitaja tu timu ya Wananchi kimenishawishi kukuona wewe ni mbumbumbu according to Ismail Aden Rage.
Itakua Rais hataki hizo mambo za sifa sifa, tuendelee kupiga kazi mkuu
 
Kuna mi-CCM mijipumbaaf ilikuwa ikifikiri Jiwe alikuwa kila kitu....!!! Today is history!!
Kumbukeni lugha za kina Kangi Lugola KUMFANANISHA JIWE NA BWANA YESU KRISTO.....!!?? Kama kuna kufuru iliwahi kufanywa na mwana CCM basi ilikuwa ni hiyo...!!! Sishangai wala sijutii kwa Maulana kuamua kumpumzisha huyu Jiwe maana alizidi sana kujiinua kitu ambacho Mungu huwa hakipendi kabisa.....!!
Never ever play with God.
 
Wengi huko ccm wapo kwenye denial period na wengine wapo kwenye anger state kwa Sasa. Hii kawaida kwa binadamu pindi wanapopitishwa kwenye mabadiliko. Bado hatua nne tu watabadilika wakizimaliza! Vuta subira.
 
Ukweli uliowazi kuna watu wameumia Sana , mama Samia kupata urais , mpaka wakapanga uhaini , mbaya zaidi huyu mama kawachukulia hatua nyepesinyepesi , asizokuwa makini bendera itapepea nusu mlingoti kabla ya 2025 .
[emoji15] yanaanzaga hvi uvi kama utani.
 

Inasikitisha Yeye aliyesababisha yote haya ( Mpasuko ) ndani ya Chama cha CCM ameshajilalia zake Usingizi mzito na wa Milele na tuliobakia sasa ni mwendo wa Kuparurana tu na Majungu kibao.
 
Walifika hata kusema yeye ni zaidi ya Mungu muumba wa mbingu na nchi.
Your browser is not able to display this video.
 
Umeandika chuki zako zinazokuhusu...

Ukifa na corona huna muda wa kuita Cardinal akupe mpako wa mwisho na kuanzisha sala na nyimbo kisha unakata roho... Reasoning ndogo...

Mengine uliyoandika ni hisia zakk mbovu sio facts...

By the way wananchi tumemuonesha mapenzi yetu....

It's ok washirikina mkihubiri chuki... [emoji16][emoji16]
 
I hope u won't die...[emoji16][emoji16]

 
CCM ni ile ile na mambo ni yale yale. Wanajua hasira za watanzania kama watagawanyika. Hawawezi kutenda hili kosa.
 
Siyo facts?Magufuli hakusema kuwa katika utawala wake hakuna mtoto wa kike ambae atarudi shule kama atapata mimba?Wapinzani hawakuwa wanabambikiziwa kesi za kuhujumu uchumi?Magufuli hakusema kuwa Corona imeondolewa Tanzania kwa maombi ya siku tatu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…