Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,993
Siyo facts?Magufuli hakusema kuwa katika utawala wake hakuna mtoto wa kike ambae atarudi shule kama atapata mimba?Wapinzani hawakuwa wanabambikiziwa kesi za kuhujumu uchumi?Magufuli hakusema kuwa Corona imeondolewa Tanzania kwa maombi ya siku tatu?
Wanaona aibu,trend alokuwa nayo mzee ilikuwa kutumia mabavu tu sasa mama amejibainisha kuwa haamini katika dhihaka na dharau. Hapo sasa inawawia vigumu kujibadili na kuanza kuicheza ngoma ya mama!Hii tabia ya baadhi ya watu kujisahau katika mamlaka kutaka kujimilikisha chama kutokujali kwamba vyeo ni dhamana ndio tatizo.
Nimeshangaa sana CCM ya JPM kila kilichofanyika walikua wanapongeza na kusifia hata mzee akitukana, Kwa sasa watu wale wale wamekua wanarudi kama Yanga(Jokes), hawashangilii wala kupongeza kazi za mama kama zamani.
Niko katika group nyingi za chama za WatsApp na mitandao miingine, yaani ni kimya hata kama kuna tukio litatokea hatutaarifiani. Hii ni kwamba hawakubaliani na Mamlaka iliyopo au wanataka nini? Mzee keshaondoka na mema yake kaacha tumalizie alikoachia acheni chuki tutakigawa chama.
Ukitaka kulifahamu hili angalia wapuuzi wachache walivyomjia juu Chairman wa umoja wa vijana ndugu Heri James kwa kuomba radhi ili kurudisha upendo katika jamii. Vijana hawakutaka hili kabisa wakaamua kumtusi Mwenyekiti kila aina ya tusi wakimwita mwaka tonge.
CCM kuna tatizo!
Jamaa alitaka mtu wanafunzi wakipata mimba waendelee na shule tu. Ikifika saa nne anaenda kunyonyesha. Mtoto yupo darasa la 7 ana watoto 2.kuwa mpinzani ni wito aisee maaan kila kitu lazma ukosoe. Huyu anaonekana hata mke wake akiwa analiwa nje na akamshika ataendelea kuwa nae tu maana ni haki yake[emoji1787][emoji1787]Kwa sisi wazee tulimwelewa juu ya no mimba shuleni... daini haki za mimba shule..
Sina ushahidi wa kubambikwa...
Hii tabia ya baadhi ya watu kujisahau katika mamlaka kutaka kujimilikisha chama kutokujali kwamba vyeo ni dhamana ndio tatizo.
Nimeshangaa sana CCM ya JPM kila kilichofanyika walikua wanapongeza na kusifia hata mzee akitukana, Kwa sasa watu wale wale wamekua wanarudi kama Yanga(Jokes), hawashangilii wala kupongeza kazi za mama kama zamani.
Niko katika group nyingi za chama za WatsApp na mitandao miingine, yaani ni kimya hata kama kuna tukio litatokea hatutaarifiani. Hii ni kwamba hawakubaliani na Mamlaka iliyopo au wanataka nini? Mzee keshaondoka na mema yake kaacha tumalizie alikoachia acheni chuki tutakigawa chama.
Ukitaka kulifahamu hili angalia wapuuzi wachache walivyomjia juu Chairman wa umoja wa vijana ndugu Heri James kwa kuomba radhi ili kurudisha upendo katika jamii. Vijana hawakutaka hili kabisa wakaamua kumtusi Mwenyekiti kila aina ya tusi wakimwita mwaka tonge.
CCM kuna tatizo!
Sio kitu kizuri asee[emoji848]Walifika hata kusema yeye ni zaidi ya Mungu muumba wa mbingu na nchi. View attachment 1740618
Jamaa alitaka mtu wanafunzi wakipata mimba waendelee na shule tu. Ikifika saa nne anaenda kunyonyesha. Mtoto yupo darasa la 7 ana watoto 2.kuwa mpinzani ni wito aisee maaan kila kitu lazma ukosoe. Huyu anaonekana hata mke wake akiwa analiwa nje na akamshika ataendelea kuwa nae tu maana ni haki yake[emoji1787][emoji1787]
Wewe utakuwa sio ﹰMkristo. Neno hili linapatikana kwenye ﹰBiblia ﹰTakatifu.Hili neno KAFAYA naelewa linamlenga mtu fulani, lakini asili yake ni nini na lina maana gani? Kama hutojali naomba unijibu.
Mama Samia akikubali watoto wenye mimba warudi shuleni Utakuja hapa Kusifia na kupiga vigelegele.Jamaa alitaka mtu wanafunzi wakipata mimba waendelee na shule tu. Ikifika saa nne anaenda kunyonyesha. Mtoto yupo darasa la 7 ana watoto 2.kuwa mpinzani ni wito aisee maaan kila kitu lazma ukosoe. Huyu anaonekana hata mke wake akiwa analiwa nje na akamshika ataendelea kuwa nae tu maana ni haki yake[emoji1787][emoji1787]
ShukranWewe utakuwa sio ﹰMkristo. Neno hili linapatikana kwenye ﹰBiblia ﹰTakatifu.